CCM na Operesheni sangara

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Wadau naona CCM wamefilisika na wanataka kuanza kujibu mapigo ya Operesheni Sangara kwa kuzunguka nchi nzima kwa kigezo cha kuwatambulisha gamba jipya la nyoka lilovaliwa kwa wanachama wao na kwenda kuwaeleza juu ya hatua na mageuzi waliyoyafanya na wanayoyataka kuyafanya kushugulikia mafisadi.
 

Tafadhali wasisahau kuja na kanga, vitenge, t-shirts na bendera maana vya mwaka jana vimeshachakaa (bendera ni kwa matumizi kama pazia nilikuta kwenye choo kimoja maarufu kama cha passport size mtaa fulani)

............Pia wakija tutawauliza katiba mpya vipi maana ndio tiba ya mafisadi.....

Kamwe CCM haiwezi kuwa tiba ya mafisadi............wao ni wazazi na waasisi...........
 
Back
Top Bottom