Maandamano makubwa zanzibar kupinga rasimu ya katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano makubwa zanzibar kupinga rasimu ya katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 15, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Jumuiya ya uamsho na mihadhara ya kiislam, JUMIKI, imeandaa maandamo ya amani ya kupinga rasimu ya muswaada wa katiba ya Muungano.
  Maandamano hayo yanayotegemea kufanyika kesho baada ya swalah ya Ijumaa yataanzia msikiti wa Ijumaa malindi na kumalizikia kwenye viwanja vya Lumumba.
  Hadi tunafika kutoa taarifa hii kibali bado hakijapatikana, lakini waandalizi wamesema wapo kwenye subira na hawaoni sababu ya Polisi kuwanyima kibali cha kufanyia maandamano hayo ya amani
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Haya, mambo yameanza zenziberi.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Polisi Zanzibar wameshayapiga stop maandamano hayo. Kwa taarifa nilizo nazo maandamano hayatafanyika kwa sababu polisi wamesema suala la udini linaweza kuleta uvunjifu wa amani.
   
 4. F

  Fredymushy New Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kushirikisha wananchi wote kwenye mchakato wa kupata katiba mpya ndo jambo muhim
   
 5. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao ni Polisi wa CCM hatushangai. Kuingiza sababu za kidini ni woga wa watawala tu kwani sijapata kuona watu woga kama CCM.

  Maandamano wanaweza kuyazuia lakini chehe ya mabadiliko haizimiki tena kamwe.

  Keep watching this page.
   
 6. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mambo bado!!
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yakheeeee naomba mzidi kunifahamisha maana hii mijitu ya sisi embu ni tabuuu kweli kweli...
   
 8. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya amani kupinga rasimu ya muswada wa katiba yanageukaje kuwa udini?? Polisi kweli hamnazo. Wazanzibar komaeni, kitaeleweka tu.
   
 9. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,159
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Udini uko wapi sasa?
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,159
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  uvunjifu wa aman unatumika kama kisingizio na chama cha magamba kukanyaga haki za wa-tz.
   
 11. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Rasimu ya mswada wa Marejeo ya Katiba. Rasimu ya Katiba Mpya bado. Huu ni mswada wa kuunda tume ya kukusanya maoni.
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kivipi wakati waZanziberi karibu wote ni dini moja?!
   
 13. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata wasipowapa kibali andamaneni kwani usitarajie hata siku moja watawale wawape haki yenu mkiwa mmelala majumbani mwenu.

  Haki hutafutwa ikiwezekana kwa nguvu. Hata Outarra kama asingepigania haki yake kwa nguvu Gbagbo asingeondoka.

  Hivyo mkomae hata wakiwanyima kibali muandamane kwa nguvu
   
 14. MANI

  MANI Platinum Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Huku bara mara nyingi lawama huwaendea CDM kwa kila maandamano na huko vipi ?
   
Loading...