Nitatoa mifano michache ya kinafiki iliyopatwa kufanywa na ccm na viongozi wake wa serikali.
Baada ya slaa kutangaza majina ya mafisadi ile list of shame rais kikwete alisema kelele za mlango...
Nimekuwa nikifuatilia sana malalamiko yanayotolewa na ima viongozi au wanachama hai na mfu kuhusu malalamiko mengi juu ya CCM. Sasa napenda kuuliza, iwapo kama CCM ikiwatimua mafisadi wote na...
Nimeangalia taarifa tbc sijaamini mkuranga hadi leo wanafunzi wanasomea chini ya miembe. ccm wanasema mkiwachagua wabunge wa upinzani hawawezi kuleta maendeleo.
Je, mkuranga kuna mbunge wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Aprili 20, 2011, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama...
Jamani nakwazwa na mawazo kila siku kujaribu kuona logic ya mfumo huu wa Bunge wa kuwashirikisha Wabunge wa Zanzibar. Huwa najiuliza wanawawakilisha nani hasa? Naomba jamvi linipe elimu juu ya hili.
Katika mjadala wa muswada wa katiba uliofanyika Zanzibar,wazanzibar waliojitokeza katika mjadala huo sio tu waliupinga muswada huo,bali walisikika wakiukataa na muungano pia.Katika fikra zao...
If I were one of these gentlemen (EL, AC and RA), wouldn't have resigned or surrendered. Because, unfortunately none of those big shots in the Party (CCM) is immune of corruption. For a example...
Chama Cha Demoktasia na maendeleo kimejikuta kikitetea mafisadi ambao CCM imetangaza kuwatosa! Chadema badala ya kubeza kwa miaka mingi kuwa CCM haina ubavu juu ya mafisadi hao sasa haiamini kile...
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha...
Nimesoma kwa makini maoni ya Mwanakijiji pamoja na maoni ya Slaa,Zitto,Lwetama n.k.Nilichokibaini cha msingi hapa ni kuwa Mwanakijiji ameanza kupata wasiwasi na mbinu inayotumiwa na CDM katika...
Historia ya tzbara hainyeshi popote kwamba kuna mtu ataejitolea kutoka ndani ya CCM kwa mustakabali wa taifa letu kama vile walivyofanya maalim seif, hamad rashid.
Juma Duni,marehemu sudi Yussuf...
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari...
"Hata hivyo, baada ya kura hizo hoja ya Lisu ilitupiliwa mbali baada ya wabunge 152 kuikataa dhidi ya wabunge 69 akiwamo ya Pinda kuikubali. Wabunge 128 hawakuwapo bungeni".
wajameni hiyo hapo...
Kuna siku nilisema kuwa watz wengi tunapelekwa pelekwa na matukio bila kuzingatia mambo ya msingi kwanza, kitu ambacho hata vyombo habari navyo huchangia. kwa mfano Loliondo imeteka sana fikra za...
Kwa hakika sijawahi kuona hili
Kwa mtizamo wangu niliamini watanzania wa hali ya chini waatakuwa wa kwanza kukimbilia huko la hasha Mungu ametufumbua macho tunaongozwa na serikali iliojaa waumini...
Jamii ya kitanzania ni jamii ya watu wa aina mbali mbali kama zifuatazo:
1-Wakulima
2-Wafanyakazi
3-wafanyabiashara
4-Wanasiasa
5-Wafugaji
Lakini kwa hali ya sasa inaonesha ya kwamba...
Wednesday, 20 April 2011 09:21
By Al-amani Mutarubukwa, The Citizen Reporter
Dar es Salaam. It is easier to enforce contracts in Zanzibar than in most small island economies due to an efficient...
kamanda mpambanaji mh. godbless lema leo majira ya saa tisa mchana atawasha moto igunga baada ya jana kuwasha moto nzega.
ila leo mheshimiwa sana dr slaa, maberemarando , mpendazoe, wataungana...
Halmashauri yamuadhibu diwani wa CHADEMA
na Julieth Mkireri, Kibaha
HALMASHAURI ya mji wa Kibaha Mkoani Pwani imetoa siku saba kwa Diwani wa Kata ya Tumbi kwa tiketi cha...
KUNA MENGI SANA ambayo siwezi kuyakana ndani ya nafsi yangu yamefanywa kuwa ufanisi na CDM kwa stahili ambayo inawafanya CHAMA CHA MAGAMBA kuweweseka mpaka sasa kwa hilo nawapa pongezi maana mziki...