Dr Slaa na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pepombili, Mar 9, 2011.

 1. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  chadema inaamini katika MFUMO WA SERIKALI TATU.Hakuna tija kwenda Zanzibar.Kutokana na harakati za kudai katiba mpya baada ya muda fupi tutakuwa na serikali tatu ndani ya nchi mbili.Ni wastage of resources kuhangaika na zanzibar wakati hakuna muda muundo wa muungano utabadilika
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  kuwa huwasikii wakiyaongelea haina maana kuwa hawayaongelei!
   
 4. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata Wazanzibari wengi pia wanataka serikali tatu nadhani kama wakienda Zanziabar wanaweza kupata support zaidi kwa sera yao hio maana ukichunguza kiundani utagundua Wazanziabri wengi ni waelewa wa mabo zaidi kuliko huko bara au Tanganyika maana wengi wa jamii ya wazanzibari ni wasomi kwa mfano wewe angalia mabadiliko ya kisiasa halafu pima na Tanganika ndio utagundua kwamba wazanzibari ni waelewa wakubwa wa mambo kuliko huko bara wanapofanyia harakati zao au hasa maeneo ya pwani ambapo watu wengi wanakuponda ni sehemu yenye mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisiasa kuliko bara sasa mie naona Chadema huko walipoanzia harakati zao wanazidi kuingia chaka maana watu wa huko ni wazito sana kuelewa pimeni naomba upime haya maneno yangu kabla ya kujibu
   
 5. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kugundua kuwa wazanzibari ndio waelewa zaidi pima toka ulipoanza uchaguzi wa kwanza mwaka 1995 utagundua kwamba wazanibari ni watu wenye uelwa mkubwa sana na hata hawajalala kama munavyodhania angalieni mapinduzi ya kisisa yalivyotokea zanzibar halafu pimeni na bara hasa bara sio pwani maana hata pwani watu wengi walishaanza kuvichagua vyama vya upinzani kama znz hii inaonesha wazanzibari ni kiio cha watanganyika kuyaendea mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi.
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahahaha,azibue masikio
   
 7. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaposema Brakashia unamaanisha nini ?
   
 8. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usiwe na haraka mkuu,mkakati upo wa kwenda kuokoa watoto yatima,walioachwa na cuf kwa tamaa yao ya madaraka,SUBIRI UONE!
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Yakhe tuna historia tofauti.Zanzibar mna dini moja na tamaduni moja hilo ni jambo zuri.Ila,kuna watwana(wamakonde,nyamwezi,shiraz)halafu kuna waarabu wa pemba(oman).CUF ni PEMBA PEOPLES PARTY ambayo haifuati sheria ya muingereza bali wanyamwezi ambao wana uhusiano wa damu sio wa kirafiki na watwana wa huko!CCM huko ni sawa na AFRO tu yakhe! imebidi mkubali tu kushindwa vibaraka wenu huku bara hawana la maana!
  Kwa hiyo ndio hivyo yakhe mambo ya kojani huku bongo hayalipi,kajiungeni nawangazija au kwa blaza bashir!
   
 10. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Zanzibar tayari kuna Seif wa CUF hakuna haja ya CDM kuizungumzia sana, kwani wanaiamini sana CUF ingawaje siku hizi haina tofauti na CCM.
   
 11. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Tanzania ni pamoja na Zanzibar!
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Si rahisi kwa Chadema kufikiria kufanya kampeni au kuelekeza nguvu Zanzibar. Hiyo inatokana na mfumo wao walijiwekea na malengo yao yapo tofauti kabisa na Zanzibar.

  Mfumo wao mkuu ni ukanda, Ukabila na Udini kitu ambacho kinawawia vigumu sana kufikiria Zanzibar.
   
 13. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii,,,,
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,756
  Likes Received: 6,043
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari ndio waelewa zaidi? Waelewa wa nini? Kuolewa na CCM ndio uelewa? Laiti mngejua mlivyousaliti upinzani usileta porojo zako hapa.
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli yule mgombea mwenza wa PhD. Slaa alikuwa anatoka Mkuranga vile au ni Mafia?
   
 16. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huwenda maneno yako yanatokana na ukweli nakusikiliza zaidi
   
 17. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaonekana una kichwa kibovu sana, sasa huyo mgombea yuko wapi kama kweli alikuwa mgmbea au gelesha tu.
   
 18. M

  Mkwele JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wao!!!!!
   
 19. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huenda wakawa na hiari ya kutazama upepo ni wapi wanaweza kuchanga vizuri karata zao,
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huyo Jesuit kaja kuharibu mada......
   
Loading...