CCM kielelezo cha umasikini

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Nimeangalia taarifa tbc sijaamini mkuranga hadi leo wanafunzi wanasomea chini ya miembe. ccm wanasema mkiwachagua wabunge wa upinzani hawawezi kuleta maendeleo.

Je, mkuranga kuna mbunge wa upinzani? maeneo ya upinzani maendeleo yapo juu ila maeneo ambayo hawajawahi kuchagua upinzani wapo nyuma sana. angalia singida, tabora, dodoma, mtwara, lindi, tanga nk. ndio maana nasema ccm inaashiria umasikini.

Jiunge na vyama vyenye mtazamo wa kimapinduzi kama CHADEMA.
 
Naona unawapaisha jamaa wa pipoz pawa,Anyway tuna maadui wanne tanzania
1.Umaskini
2.Ujinga
3.Maradhi
4.CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom