Hivi wapiga kura wanawezaje kuwawajibisha wabunge wasiowajibika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wapiga kura wanawezaje kuwawajibisha wabunge wasiowajibika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tasia I, Apr 21, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  "Hata hivyo, baada ya kura hizo hoja ya Lisu ilitupiliwa mbali baada ya wabunge 152 kuikataa dhidi ya wabunge 69 akiwamo ya Pinda kuikubali. Wabunge 128 hawakuwapo bungeni".

  wajameni hiyo hapo juu ni paragraph kutoka katika gazeti moja kama inavyojieleza.
  mara nyingi tumekua tukiona upungufu mkubw wa wabunge bungeni, kuna wakati nilisikia eti wengine hawakuepo bungeni kwasababu walikua dar wakichek mech ya taifa stars na brazil.

  Mimi kama mpiga kura naomba kujua, hivi hakuna njia ya mimi kuweza kumwadhibu mbunge tegevu???
   
 2. n

  niweze JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakuna bunge tena tanzania. Lets close those doors and tutengeneze bunge letu Mwanza.
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,128
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Khadija kopa naye mbunge...wapi tunaelekea tanzania!
   
 4. D

  Dotori JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Khadija Kopa si Mbunge. Ni M-NEC
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Fimbo yao ni katiba stahiki kwa mazingira ya sasa
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nonsense kwakweli. senseless kabisa.
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mkuu post ya M-NEC ni kubwa kisiasa kuliko mbunge,maana hao ndo watungaji na wasimamiaji SERA,pia maamuzi makuu ya chama hutokana na NEC
   
 8. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena
   
 9. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hilo ni fundisho mwaka 2015 tusifanye makosa katika kuchagua wabunge.
   
Loading...