kamanda mpambanaji mh. godbless lema leo majira ya saa tisa mchana atawasha moto igunga baada ya jana kuwasha moto nzega.
ila leo mheshimiwa sana dr slaa, maberemarando , mpendazoe, wataungana na LEMA pamoja na kilewo kule igunga kuwasha moto.
akiongea na vijana asubuhii hapa igunga kamanda kilewo amesema wabunge wengine wa chama hicho wanapaswa kumuiga lema kwani ubunge siyo pozi bali nikuwa karibu na jamii na sasa lema yupo karibu na jamii ndiyo maana hata yeye hupenda kuambatana naye kufanya shughuli za ukombozi ili kila mtanzania aelewe wajibu wake katika taifa.
naye lema akaongeze yakuwa hawakuja nzega wala hawaendi igunga kumfurahisha mtu au kumkasirisha mtu bali wapo kwaajili ya kuongea ukweli na ukweli ndiyo slaa pekee ya ukombozi , akasema dr yupo njiani kuja kuongeza nguvu komaeni makamanda msiongope.