Jk zungurusha kiti, kunywa chai,ongeza ac, funga madirisha. No ccm b 2011-2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk zungurusha kiti, kunywa chai,ongeza ac, funga madirisha. No ccm b 2011-2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 21, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Historia ya tzbara hainyeshi popote kwamba kuna mtu ataejitolea kutoka ndani ya CCM kwa mustakabali wa taifa letu kama vile walivyofanya maalim seif, hamad rashid.
  Juma Duni,marehemu sudi Yussuf Mgeni na vigogo wengine.

  sisi bara kwetu tukose ubunge na kutemwa ktk kura za maoni ndio tutahama chama.
  maslahi zaidi mbele na taifa nyuma
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mbona sijakuelewa ulikuwa unataka kusemaje
   
 3. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kikwete ameanza kulitetea Taifa letu dhidi ya mafisadi.
   
 4. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  nionavyo mimi tatizo sio viongozi bali ni sisi wenyewe kwani hatuko tayari kukombolewa tumeridhika na maisha tunayoishi (hali ya umaskini), mioyo yetu na fikra zetu zinaona kwamba umaskini ni sehemu ya maisha yetu, bora kufa njaa kuliko kudai haki zetu ambazo tunatishiwa nyau kuwa tukizidai ile amani iliyokuwepo itatoweka. Hivyo viongozi nao wameligundua hili wameona mifano mingi kutoka kwa viongozi waliotangulia jinsi ambavyo waliasi chama na kwenda kwenye upinzani lakini mwisho wao ulikuwa mbaya na hakuna aliyejitokeza kumuunga mkono, leo hii na wao wameamua kutumia nafasi ya uongozi kwa maslahi yao. Tunawaona viongozi wetu wa chadema jinsi walivyojitolea nafsi zao kuutetea umma wa watanzania, lakini je ni asilimia ngapi ya watanzania wanaotoa support ya kweli kwao, wengi wao wamebaki mashabiki tu na hawako tayari kufanya mapinduzi ya kweli.

  Watanzania tuamke, Kenya wametuacha mbali sana wanaandamana kupinga upandaji wa gharama za maisha kama vyakula na mafuta, asilimia kubwa wao barabarani si wa upinzani wala chama tawala, sisi huku maandamano ya kupinga mfumuko wa bei yanafanywa na upinzani tu, sasa kwanini viongozi wasishikilie vyeo kwa maslahi yao?
   
Loading...