Siasa za kinafiki kama za ccm zinafaida gani kwa taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za kinafiki kama za ccm zinafaida gani kwa taifa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Noti mpya tz, Apr 21, 2011.

 1. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nitatoa mifano michache ya kinafiki iliyopatwa kufanywa na ccm na viongozi wake wa serikali.
  Baada ya slaa kutangaza majina ya mafisadi ile list of shame rais kikwete alisema kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala lakini baadae alikuja kukubali serikali yake kuanguka baada ya waziri mkuu el kubwaga manyanga bungeni... Haya tukaendelea, ikaja issue ya samwel sitta kupambana na mafisadi akataka kunyang'anywa hadi kadi ya ccm kisa anakimaliza chama baadae tunaambiwa kuna magamba ambayo kwa ukweli ndiyo sam sitta alikuwa anapambana nayo na wanatangaza hadharani kuwa wameyatosa, hapo nani alikuwa anadidimiza chama? Mbona sitta wamemwacha? Kuna issue ya zito na karamagi kusaini mkataba london na zito kusimamishwa bungeni na baadae ccm kumtosa karamagi. Ukitaka kujua ccm kiongozi wake wa juu hana msimamo angalia hili.. Alisema chadema wanaandamana ili kumwondoa madarakani baada ya muda akaanza kutekeleza madai ya cdm kwa kupita kila wizara akiwakumbusha kuwajibika na wengine hata alifikia kuwaambia wapunguze bei ya huduma zao, mfano tanesco.. Huo sio unafiki?
   
Loading...