Jamani Prof. Mukandara anaitafuna UDSM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Jamani Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinatafunwa vilivyo na Makamu Mkuu wa Chuo,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara.Kila akienda kwao kwa mapumziko ayatakayo wakati wowote ule(Kagera),hulisafirisha kwenda na kurudi shangingi lake tupu huku yeye akipaa na ndege.Huenda na wapishi wake na walinzi ambao wote hulipiwa na Chuo.Chuo kinadhoofu kwa sababu yake.Ana matumizi mengine mengi mno ya anasa.Huyu mtu hana huruma na fedha za Chuo kabisa....
 
aliteuliwa na rais ambaye matumizi yake ni makubwa kuliko rais yoyote wa tz,..anamuiga boss wake
 
Weee nani ? Mbona umesubiria tume kumtuhumu hajajaza form za kutaja mali zake na wewe unamfyatukia ..... Yaani wabongo hamkosi maneno hii hatari sana.
 
Huyo jamaa nasikia ndiye anayeharibu hata Coet kwa kupachika vibaraka wake kila sehemu.
 
Wivu tuu unakusumbua hii nchi kila mtu anakula kwenye kamba yake wewe kama huna kamba kula lami
 
sioni ubaya kusafiri na wapishi na walinzi, sasa ulitaka akifika kwao akodi gari la kutembelea? acha hizo.
 
vyuo vyote tanzania vina matatizo hata udom ni noma mno,wanashindwa kuwalipa walimu ila ni ansa tu kwakwenda mbele,wakiongozwa na mlacha na boss wake.
 
Tujiulize kwanza, stahili zake ni zipi kama makamu mkuu wa udsm, na tukishafahamu kama tuna hakika kuwa anafuja mali za chuo basi ndo tuje na thread kama hii vinginevyo nnaichukulia kama chuki zisizo na mpango
 
siyo COET tu bali amesambaa mpaka kwenye constituent Colleges! kila kona ni vibaraka wake waliojaa dharau na majivuno! wasomi wetu wengi ni "wajinga"bado!


Huyo jamaa nasikia ndiye anayeharibu hata Coet kwa kupachika vibaraka wake kila sehemu.
 
Jamana ana ghorofa lake makongo juu kama ikulu ya magogoni,na ana Benz S 550 mpk imeingia brbrn mwaka 2007 alitumia 140M, unategemea nani kwa mtu mwenye ukwasi wa namna hiyo?apande gari mpk kiziba na kurudi?ye ndege tu
 
Toa ushaidi waku tosha ukikamilia maandamano yaku mtoa kwanini atumie mali za uma vibaya nawasomi tunaona huu utakuwa umbumbumbu. Nachukia sana mtu anaye lalamika chukua hatua chungunza lete ushaidi wako tuufanyie kazi, uta lalamika mpaka lini acha undezi.
 
ni shangingi lake binafsi au la chuo? na je, ni wapishi wake binafsi au wa chuo? kama ni la chuo hafai na ndiyo wanaturudisha nyuma hawa. kama la kwake binafsi then nakushauri usifuatilie maisha binafsi ya mtu.
 
Acheni majungu nyie. Mnajuaje huenda hayo ni marupurupu ya mkataba wake wa kazi? Mnajua contract yake ina nini? Mnakurupuka tu bila evidence. Mlacha mmempigia kelele weweeeeeee kwa majungu ya vi tutorial asistant matokeo yake vimeaibika tu hakuna hoja yoyote ya ukweli waliyotoa. Acheni Utoto
 
Back
Top Bottom