Tunaongozwa na serikali ya wagonjwa; Mungu atusaidie sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaongozwa na serikali ya wagonjwa; Mungu atusaidie sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 21, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Kwa hakika sijawahi kuona hili
  Kwa mtizamo wangu niliamini watanzania wa hali ya chini waatakuwa wa kwanza kukimbilia huko la hasha Mungu ametufumbua macho tunaongozwa na serikali iliojaa waumini wa Magonjwa mbalimbali mbali na kukaa kimya wengine awakushindwa kudai wana shinikizo la damu...swali langu najiuliza

  Huyu shinikizo la damu/Kisukari ni nani kila kiongozi anadai anaumwa hayo magonjwa
  sisemi mbaya kuumwa bali Ujio wa Mahakimu wa makahama ya rufani pamoja na kundi la madiwani wakiongozwa na gari za serikali 3 toka songea ndicho kinachofanya nianze kusikitika hii nchi imejaa viongozi wagonjwa awatamalaki......

  Ombi
  Kuna magonjwa wapendwa yanajulikana hapa mmh muda si mrefu shinikizo laweza panda pwaaa..si mbaya mkafanya kuandika mirathi kwa mida hii badala ya kuacha familia zenu zikiangaika na kuhuzunika bila kuwa na sehemu ya kukimbilia kumbuka nyumba unayokaa ukiondoka mkeo ama mumeo anaweza kuwa mpangaji humo ndani ingawa ni yenu hao ndio ndugu.. ambao mkiwa hai mnawajali mkiondoka wanaanza kunyanyasa watoto zenu
   
Loading...