Dhana ya Magamba ndo inatawala sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhana ya Magamba ndo inatawala sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mndeme, Apr 21, 2011.

 1. m

  mndeme JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna siku nilisema kuwa watz wengi tunapelekwa pelekwa na matukio bila kuzingatia mambo ya msingi kwanza, kitu ambacho hata vyombo habari navyo huchangia. kwa mfano Loliondo imeteka sana fikra za watu wengi, na kusahau mbio za kutafuta katiba mpya, yaani isingekuwa muswada mbovu wabongo wengi walikuwa wametekwa na loliondo.

  Kama hiyo haitoshi limezuka suala la kujivua magamba (kuwatosa mafisadi wa ccm), nalo hili linatawala sana huku maisha kwa ujumla yakizidi kuwa magumu vilevile na bidhaa zikipanda bei kila kukicha.

  Hoja yangu hapa pamoja na kuwa matukio mengine yana maslahi kwa taifa (isipokuwa usanii wa kujivua magamba), ningeomba yale mambo makuu ya msingi yazingatiwe ikiwa ni pamoja na kuwa na kujenga uchumi wetu na kuboresha huduma ambazo zina maslahi kwa taifa.
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati jana mimi chupu-chupu niuziwe sukari kwa shilingi 2500 kwa kilo.
   
Loading...