Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kikwete, hili ni lako, usiwaachie wadogo zako Jenerali Ulimwengu Aprili 20, 2011 BAADA ya kukaa wiki kadhaa bila kuonekana katika safu hii, wiki hii narejea ulingoni kuendeleza mjadala...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nchi yetu na nchi nyingi chama tawala ndio uunda serikali na mara nyingi matendo na maamuzi ya chama utekelezwa na serikali, kwa maana nyingine serikali ndio kioo cha chama.Baada ya kusoma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
La mgambo limelia, kila mtu kasikia, Magamba nayatupia,kujiweka asilia, Wengi walinililia,hamsini tanzania, Kujivua kwa magamba, sio kwamba sina sumu, Sio kwamba sina sumu,nilipovua magamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk. Slaa afichua mabilioni ya Rostam Asema anapokea bil. 280/- kwa mwaka, ataka akamatwe Na Joseph Senga KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa...
14 Reactions
241 Replies
24K Views
Dr Wilbrod Slaa(Phd) amekuwa mwana siasa maarufu hapa nchini hasa kwa namna yake ya kuibua mambo mbalimbali mchanganyiko mengine yakiwa na ukweli na mengine ya kiwa hayana ukweli! Suala la...
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Aina zote za chuki lazima zisahauliwe, iwe chuki ya kitaifa au chuki ya kidini kadiri ya watu watakavyo shikilia kwenye chuki hatutakuwa na amani duniani vita vyote tulivyokuwa navyo katika siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kati ya vijana wanaofurahishwa sana na jukwaa huru la chambuzi mbalimbali zinazofanyika humu ndani ya Jamii Forum, na kinachonifurahisha zaidi ni pale watu wanapoibuka na hoja nzito na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana jamvi Naomba thread hii itumike kwa kila great thinker achague cheo,taasisi au wizara yeyote anayoona anaweza kufit ambayo kama angekuwa kiongozi aseme na andike mammbo gani na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NA STEPHEN BALIGEYA “FUNGENI milango tupigane, tuone mbabe ni nani kati yetu na nyinyi,” hayo ni baadhi ya maneno yaliyotolewa na wabunge, wakati wa mabishano juu ya kanuni za Bunge, Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu sasa, watu wa kusini, hasa mikoa ya mtwara na lindi wamekua na kilio kimoja, barabara, kipande cha kilometa sitini tu, ambacho utekelezaji wake umegeuzwa kuwa wa kisiasa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Chadema ni chama cha kikuu cha upinzani nchini. ni chama kinachojita ni mbadala wa ccm 2015. lkn cha ajabu sijawahi kusikia viongozi wakuu hasa mkuu wa kupamba na ufisadi akiifanya tu mahusiano na...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakati hakuna anayeelewa kwa undani maana halisi ya " kujivua magamba" labda wana CCM wenyewe waliokaribu na CC, kilichowazi ni kuwa CCM imekubali kuwa chama chao kiligubikwa na tuhuma za ufisadi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
NAPE NNAUYE, NI KIVULI CHA BABA YAKE AU MWENDELEZO WA USALITI??? ninapo sikia jina la Nape Nnauye linanikumbusha enzi ile ya baba yake mwandani wa baba wa taifa mwalimu julius nyerere!! baba yake...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni ishara nzuri kwa mh. Rais kukutana na vioungozi wa Jumuia za wafanyakazi na kuzungumza nao, akiwemo kiongozi aliyemtambulisha kama ndege aitwae gong’ota (ndg. Mgaya) katika kile kikao chake na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja! Kweli Chadema ni...
4 Reactions
168 Replies
15K Views
Tuseme hii ni kuwacheza shere wazanzibari wamini kama nao wamo katika jumuiya ya East Africa kama walivyokuwemo kabla ya kuvunjika au ni sababu za ujuha waliokuwa nao mpaka kufikia kufanyiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote mwenye kero/changamoto zinazolikabili jimbo kwani pia ni wilaya mpya na ni eneo pekee lenye hospitali iliyotengwa kwa utoaji tiba ya T.B,ninawiwa kuwa karibu na hii wilaya na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nimekuwa nifuatilia mjadala unaoendeshwa na Star Tv na hata baadhi ya Magazeti kuhusu na utendaji wa SPIKA - MWANAMKE. Kamati kuu ya CCM ndiyo iliyompitisha Spika tuliye naye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbn leo cjackia habari za kile chama cha magamba TBC? au ndo mbio za sakafuni?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sylivester Ernest 21 April 2011 Dar Es Salaam — The government should take urgent measures to alleviate economic hardships that the majority of the population is facing lest the protests taking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…