Dk slaa ,anakubalika na media tu kama kweli anakubalika na wengi kwanini haingi zone hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk slaa ,anakubalika na media tu kama kweli anakubalika na wengi kwanini haingi zone hizi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 21, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema ni chama cha kikuu cha upinzani nchini. ni chama kinachojita ni mbadala wa ccm 2015. lkn cha ajabu sijawahi kusikia viongozi wakuu hasa mkuu wa kupamba na ufisadi akiifanya tu mahusiano na watz wote bila kuangalia dini, kabila na koo.
  Lkn tangu 2000- 2010 sijawahi kusikia Chadema kikifanya mawasiliano na mikoa hii, huu ni ujumbe tosha kwamba enapo chadema itafanikiwa kupat 40.5%na CCM 40% na vyama vyengine kugawana % ni wazi tz itakuwa kama Nigeria yaani kusini na kaskazini . hii ni wazi kwamba Chadema inaogopa kuingia zone hiyo ambayo .
  jee kukuabalika kwa chadema kwa watz kunatokea wapi?
  LINDI
  Mkoa wa Lindi Karibu robo ya eneo lake au 18,000 km² ni sehemu ya hifadhi ya wanyama ya Selous.
  Mkoa una wilaya sita za Lindi Mjini na Lindi Vijijini, Kilwa, Nachingwea, Liwale na Ruangwa..
  Mwaka 2002 idadi ya wakazi ilikuwa 791,306. Karibu asilimia 90 kati hao ndio wakulima. Makabila makubwa zaidi ni hasa Wamwera ambao wanapatikana hasa wilaya ya nachingwea na lindi vijijini katika kata za Rondo halafu Wamachinga ,Wamalaba ambao wako zaidi lindi mjini Wamatumbi na Wangindo huko Kilwa.
  Idadi ya wakazi wa wilaya ni (idadi katika mabano): Kilwa (171,850), Lindi Mjini (41,549), Lindi Vijijini (215,764), Liwale (75,546), Nachingwea (162,081), Ruangwa (124,516),
  Mkoa wa Pwani

  Mkoa wa Pwani una wilaya sita ndizo (idadi ya wakazi katika mabano): Bagamoyo (230,164), Kibaha (132,045), Kisarawe (95,614), Mkuranga (187,428), Rufiji (203,102) na Mafia (40,801).
  Mkoa huu una jumla ya majimbo ya uchaguzi yanayofikia (7) ambayo yanajumuisha Bagamoyo, Chalinze, Kibaha, Kisarawe, Mafia, Mkuranga na Rufiji.


  Mkoa wa Tanga

  WakaziMakabila makubwa mkoani Tanga ni Wasambaa, Wazigua, Wabondei na Wadigo. Wasambaa ndio kabila kubwa lililoko katika milimani ya Usambara, Muheza, Korogwe na Lushoto. Kwa jumla ndio asilimia 40 ya wakazi wote wa mkoa.

   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona unaanza kuzungumzia ukanda, ukabila na idadi za watu. issue ya msingi ni nini? Ina maana katika maeneo hayo CDM hawakupata hata kura moja wakati wa uchaguzi mkuu 2010?
   
 3. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huko yupo Prof Lipumba na Dr. Slaa anamkubali kwa lengo ni kuwatetea watanzania.
   
 4. i

  ibange JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mbona humsemi Prof Lipumba maana yeye ndie anaenda maeneo ya waislamu tu. Chadema mbona wapo Tabora, kigoma, mpanda, kigamboni nk? Chadema kipo nchi nzima lakini kisiasa kuna maeneo ambayo utakuwa na ufuasi zaidi
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Chadema lazima ifikirie na do something on above issue
   
 6. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ifanyeje?
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mbona hawamshngai lipumba aulizwe ni lini alienda mikoa ifuatayo: Kilimanjaro, Arusha na Mbeya
   
 8. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kweli we mzee wa haja
   
 9. J

  JABEZ Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu, hayo makabila yana uhusiano gani na Chadema kutowatembelea? Unachotaka kusema ni kuwa hawaendi huko kwa sababu ya kuwepo hayo makabila na hizo dini? Mbona unaturudisha nyuma sana mkuu? Yaani akili yako imevaa miwani ya dini na ukabila. Huwezi kutafsiri mambo tofauti na hapo? Akili kama za kwako mkuu ni za hatari sana kwa usalama wa taifa
   
 10. Mch.A.Mwasapile

  Mch.A.Mwasapile Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na wewe jivue gamba
   
 11. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwa udhaifu huo ndio maana siku zote nasema Chadema itaendelea kuota kuingia ikulu. kuna mchangiaji ameitaja Kigoma napenda kumwambia kuwa kule kwetu Kigoma hatuchagui chama tena, habari hizo kwetu hazina nafasi.sisi tunamchagua mtu anayeonesha nia ya dhati, ndio maana Slaa hakupata kura kigoma mjini na wakati nafasi zingine zote tumewachagua wagombea wa cdm.hata hilo slaa analijua kwa kina kwani alienda kuhamasisha maandamano kigoma alirudi na vumbi zake. masikini weeeeeeeeeeeeee chadema. mistake kubwa ya cdm viongozi wake wamejikita sana kanisani. that is a very big mistake waliyoifanya ambayo kwa wao it will remain never kukanyaga Ikulu.
   
 12. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Majina mengine taabu kweli kweli. Kumbe neno busara linaweza kuwa latumika badala ya pumba! Ama kweli vichwa vya panzi ni vingi!
   
 13. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #13
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Ndiyo uwezo wako wa kutafakari mambo ulipoishia??
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bongo hakuna ukabila ila ni watu wachache ambao hawana sela ndo maana wakasingizia udini ili wasidondoshwe kama kuna udini kweli mbona makamu wa rais ni mwislamu na rais wake kwa hiyo sasa sisi tunahitaji mkombozi watz na sio huyu ukabila na udini..
  chukua hatua fikiria..
   
 15. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #15
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  MKUU NAONA HABARI INA MUSHKELI KIDOGO,

  MIMI MARA NYINGI NINAFANYA KAZI ZA FIELD KISARAWE HATA SASA NINAANDIKA MSG HII BADO SIJARUDI DSM. UKWELI NI KWAMBA, CHADEMA INA VIONGOZI WA WILAYA NA KATA KIBAO HAPA KISARAWE.

  ZAIDI SANA KUNA SERIKALI ZA VIJIJJI NA VITONGOJI VILIKUWA CHADEMA NA VINGINE VIKO CHINI YA CHADEMA HADI SASA. Mfano KITONGOJI CHA SANZE KILIKUWA CHADEMA MIAKA 5 ILIYOPITA.VINGINE VIKO MAENEO YA MWANEROMANGO NA MZENGA.

  PILI, CHADEMA ILISHINDA UBUNGE KIBAHA WAKACHAKACHULIWA KURA ZAO. WANANCHI WALIANDAMANA HADI WAKATULIZWA NA MGOMBEA WA CHADEMA. JE WAFAHAMU KUWA CHADEMA INA MADIWANI 3 JIMBO LA KIBAHA PAMOJA NA WIZI WOTE WA KURA? BAADHI YA MADIWANI HAO (BOSCO) KATA YA PICHA YA NDEGE MAKALA (KATA YA TUMBI) NK

  TATU, SINA DATA KAMAILI ZA TANGA, LAKINI CHADEMA INA NGUVU MAENEO MENGI YA TANGA KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI.

  MWISHO, JE WAJUA KUWA WAPIGA KURA WA MTWARA, LINDI NA PWANI NI SAWANA WAPIGA KURA WA MKOA MMOJA TU WA MWANZA PEKE YAKE?

  MIMI NAAMINI JIBU LAKO LITAKUJA TUKISHAPATA TUME HURU YA UCHAGUZI. ASANTE.
   
 16. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Anakubalika kwenye mikoa yenye population kubwa..na siyo huko kwenye underpopulation.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Jamani tufumbuane macho, hivi ni kwa nini watu wanasema CHADEDMA ni chama cha udini? Au ni kwa sababu Dr. Slaa ni Padre (Upadre huwa hauachwi)? Naombeni nipate ushahidi mwingine wa udini wa CHADEMA
   
 18. k

  kajembe JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Pole wewe ndiyo tukuonee huruma hivi huoni Kigoma ilivyo nyuma kimaendeleo na jinsi mlivyogandamizwa na serikali ya CCM, Wenzako wengine wameshtuka umebaki na mambo yako ya dini huku ndugu zako wanakufa na umaskini wa kutupwa hata shule tu tatizo amkaa wewe acha mawazo ya kidini hayana faida kwa watanzania wa sasa!angalieni wengine wamekataa ccm na hawachezewi na mambo ya kidini kama ninyi! kwani kilimanjaro ni wakristo tu? Mbeya je wakristu tu? au mwanza! acha ujinga wako wa kufikili
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa hiyo watu wa kusini wanatengwa kwa sababu ya uchache wao? Nao ni binadamu na wanastahili heshima na kama CHADEMA ni chama cha wote basi fanyeni juhudi mfike huko nako ili kuonyesha utaifa. Msikubali kusemwa semwa kwa ukasikazini kumbe mnakiri kuwa kusini hamkutaki kwa kuwa kuna kura chache? Unguja na Pemba je?
   
 20. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #20
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa ana mchoko wa akili kwa hizi hoja alizozilita hapa. kwa vile kaamua kuongelea ukanda, Tanzania kijiografia imegwanyika katika kanda saba, Katika hizo kanda saba Chadema imefanikiwa kutoa wabunge katika kanda hizo zote. Sasa ana maanisha nini anaposemakuwa chadema imetanga baadhi ya kanda?!

  Chadema ni chama makini kitafika kila mahali na kimeaminiwa na watanzania hapa kuoewa nafasi ya pili kitaifa.
   
Loading...