Kumbe kuvua GAMBA kunasaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kuvua GAMBA kunasaidia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lyimo, Apr 22, 2011.

 1. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni ishara nzuri kwa mh. Rais kukutana na vioungozi wa Jumuia za wafanyakazi na kuzungumza nao, akiwemo kiongozi aliyemtambulisha kama ndege aitwae gongÂ’ota (ndg. Mgaya) katika kile kikao chake na wazee wa Dar. Awali tulishuhudia Mh.Rais akijibu madai ya wafanyakazi (Mbayuwayu) kupitia wazee wa Dar Es Salaam jambo ambalo lilimpotezea imani ndani ya jamii katika kuliongoza Taifa. Nafikiri alikuwa akipokea ushauri mbaya ambao ulimpeleka pabaya sana. Pia imeonyesha maridhiano baina yake na viongozi wa jumuia mbalimbali alizokutana nazo. Hii ni ishara nzuri ya kurudisha ari ya kufanya kazi kwa wafanyakazi na kusuguma mbele gurudumu la maendeleo. Hivyo kazi za serikali ni vizuri zifanyike na hadhira husika badala ya kukimbilia jukwaani ama hadhira isiyo stahili.

  Mwananchi ya leo inahabari ya kukutana nao na kuhaidi kuwaongezea mishahara wafanyakazi katika msimu ujao wa bajeti.
   
Loading...