Kama kamati kuu ccm imejiuzulu, kwa nini spika asijiuzulu? Maana ametokana ubovu huo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama kamati kuu ccm imejiuzulu, kwa nini spika asijiuzulu? Maana ametokana ubovu huo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lusambara, Apr 22, 2011.

 1. L

  Lusambara Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF, nimekuwa nifuatilia mjadala unaoendeshwa na Star Tv na hata baadhi ya Magazeti kuhusu na utendaji wa SPIKA - MWANAMKE.

  Kamati kuu ya CCM ndiyo iliyompitisha Spika tuliye naye sasa, Kamati kuu hiyo imeonekana hakuweza kufanya kazi vizuri kwa sababu ya kutawaliwa na makundi ndani yake. Sasa je KWA MWENDO HUU WA SPIKA, ALIYETOKANA NA KAMATI HIYO ILIYOFUTWA NA CHAMA - TUTAFIKA?

  Kwa nini kwa BUSARA KABISA - Spika asijiuzulu kwa manufaa ya UMMA? M/Mkiti Msekwa naye amesema kuwa Spika inatakiwa awe Mwanasheria na hili linaonyesha ambayo hata wao sasa wameanza kuona madhaifu yake.

  MIMI NASEMA, KAMA ANASOMA JF, BASI NIOMBE UPIME KAZI YAKO KWANI GARI LILILOKUBEBA TAYARI LIMESHAZAMA, UTAWEZA KUELEA KWELI?
   
Loading...