Ungekuwa wewe ungefanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungekuwa wewe ungefanya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Apr 22, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi

  Naomba thread hii itumike kwa kila great thinker achague cheo,taasisi au wizara yeyote anayoona anaweza kufit ambayo kama angekuwa kiongozi aseme na andike mammbo gani na decision angefanya tofauti na yanofanyika sasa.

  So tujadili kama wewe ungekuwa ndo JK, au waziriau katbu mkuu fulani au ungekuwa CEO wa NHC au PPF, TTCL etc.Au ungekuwa Mkuu wa chuo UDSM au ungekuwa Meya wa jiji au ungekuwa mbunge wa jimbo xxx. Na vyeo vingine vya kimaamuzi unavyojua


  Simple chagua cheo na taasisi na sema ungefanya decision gani.?

  Itapendeza hii thread akiingia na kuisoma original

  • CEO wa TTCL, NSSF,TANESCO aone "virtual" CEO wana solution gani
  • mbunge wa jimbo xxy asome "virtual" mbunge ana mtazamo gani
  • JK aone ni maamuzi gani virtual JK's tunayafanya
  • Meya....
  • Waziri......

  Nawasilisha
   
Loading...