Changamoto zinazolikabili jimbo la Siha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamoto zinazolikabili jimbo la Siha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Apr 22, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Naomba kwa yeyote mwenye kero/changamoto zinazolikabili jimbo kwani pia ni wilaya mpya na ni eneo pekee lenye hospitali iliyotengwa kwa utoaji tiba ya T.B,ninawiwa kuwa karibu na hii wilaya na jimbo hili naomba msaada wa wana Jf.
   
 2. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Changamoto ni nyingi mkuu,barabara sio za uhakika,kwa mfano barabara inayotoka kia hadi sanya juu kupitia naibilie ni mbaya pamoja na kutengea pesa za kuifanyia matengenezo ela ililiwa na hakuna kilichofanyika,for more info ni pm.
  2.uharibifu mkubwa wa mazingira,haswa kwenye maeneo ya sinyai
  3.kuhakikisha ranchi ya west kilimanjaro ambayo ipo mbioni kuuzwa wanasia wanapewa kipaumbele
   
 3. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwanza ungetujuza wewe ni nani hapo siha ili hzo changamoto uzifanye je.
  Pili kuweka record vzur siha siyo wilaya mpya bali ni jimbo ndani ya wilaya ya hai.
   
Loading...