Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

==============

Moderator's note:

Aliyetoa kauli hii inadaiwa si Lema wala mbunge wa CHADEMA kama ilivyodhaniwa awali, fuatilia hoja hii utafahamu nani alitoa kauli hii
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!


Kama kweli basi bunge sasa litachangamka na kupunguza pumba.
 
We unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaoni wale waliojazwa mle kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?

Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu
 
Bado najitahidi kujizuia kuelezea mtazamo wangu kuhusu kilichotokea jana!!
In the mean time, ngoja niwe msomaji zaidi wa mitizamo ya wengine.
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Lema ameonyesha njia na wengine tutafuata, kilichobaki ni kuzichapa maana mmezidi kuwaburuza nanchi na wapenda maendeleo.
 
jana mh. Godbless lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli chadema ni hamnazo!

pole ndg yangu jesuit, mimi naona wewe ndiye hamnazo ,maana umeshindwa kufuatilia kilichokuwa kinafanyika ktk ukumbi wa bunge, je???? Ulitaka chama cha magamba waachwe kuvunja sheria hivi hivi mchana kweupeeeee??????! Watanzania wa sasa na ulimwengu kwa ujumla huko ndiko ambako sasa hawakutaki, wewe upo ulimwengu ule ule wa mgando??????????????????????????????????????????????
 
Muda sio mefu Bune letu litakuwa kama la JAPAN,RUSIA na kwineko mtu ukitetea pumba unakula kichapo kwanza ndipo unapata adabu na akili ya kutetea Taifa.
CCM wako kama Punda bila kiboko haende wala habebi mzigo dawa ni moja viboko kwa kwenda mbele mwisho wa siku watanyooka tu...
CUF,NCCR,UDP nao wanahitaji viboko maana wako kama picha bungeni sijaona cha maana walichokifanya hadi sasa wao ni Magamba B hawawatendei haki wananchi waliowaingiza pale mjengoni!

Yaani inatia hasira hasa watu badala ya kujadili mambo ya umuhimu kwa manufaa ya taifa wao wanazomea na kuuza sura zao SHAME ON YOU MAFISADI MAGAMBA!
 
wanajifanya wanajivua gamba, watakuja kungundua wametoa nyama na wamebaki na mifupa
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Shida yako Jesuit hufuatilli bunge na kuunganisha mambo. Waliotoa hoja ya kufunga mlango na kutwangana makonde ni CCM katika kikao cha Februari walipokuwa wakisema CDM wanachochea umwagikaji wa damu. CCM wakito kauli yao hiyo walikuwa wakijivunia wingi wa idadi yao maana kwa nguvu ya hoja wameshindwa sasa wakataka kutumia hoja ya nguvu. Hivyo alichokisema Lema ni kuwaambia kuwa vile mlisema mtafunga mlango tutwangane basi sasa labda ndio wakati mkatimiza adhima yenu.
Sasa hapo nani hamnazo?
 
Ngoja niongeze mashina ya CDM ili 2015 tuongeze wapambanaji, tunataka Lema mia mle ndani.
 
Walimwaga ugali ili wale mboga sasa cdm wakamwaga mboga, mkono upigwe kati ya lema na pinda then mdee na makinda, na wengne wanafuata!
 
Bado najitahidi kujizuia kuelezea mtazamo wangu kuhusu kilichotokea jana!!
In the mean time, ngoja niwe msomaji zaidi wa mitizamo ya wengine.

yaliyotokea jana pamoja na mambo mengi yanadhihirisha kuwa hata wabunge wa ccm wanajua kuwa spika makinda hana uwezo wa kuongoza bunge na halikuwa chaguo lao.

Hata hivyo wazo la kutaka wabunge kuchapana si geni peru, kenya, italia hasa italia ni kitu cha kawaida.

Kwa bunge kama la tanzania ambalo kundi kubwa ni la wabunge wa CCM ambao 99% yao ni mijitu isiyojua imekwenda bungeni kwa ajili ya nani, ipo pale kuhakikisha vyama vya upinzani havitamki neno CCM...inafikia mahali busara inamtoka mtu na anaona bora kuchapata pengine kutastua bongo za hiyo mijitu ya ccm
 
Machali wa Arusha huwa tunapenda ukweli daima na mtu akijifanya Zoba tunampa za chembe dat how we do like our MP G Lema said yesterday.
 
Na bora waanze kushushiana mangumi, labda akili za hawa wabunge watetezi wa CCM(manake co watetezi wa wananchi) zitaanza kufanya kazi vizuri. Wanatia hasira hawa!
 
Back
Top Bottom