Nimesikiliza kipindi cha BBC kilichomalizika hivi punde juu ya maoni ya Watanzania kuhusu Muungano. Nilichosikia leo kutoka kwa waliojitambulisha kuwa ni Wazanzibari hakina tofauti na kile...
Kikwete ‘jino kwa jino' na Lowassa
Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 April 2011
Mwanahalisi
HATUA ya kukivua gamba Chama Cha Mapinduzi (CCM), imegeuka vita vya "jino kwa jino" kwa...
Kwa nini watu tuishio kusini, mikoa ya Lindi na Mtwara serikali haitujali?
Ni kuhusiana na kipande cha barabara kuanzia mbele kidogo ya daraja refu Tanzania maarufu kama daraja la Mkapa kupitia...
ndugu zangu nataka tujadili kwa wazi thread hii hivi ni kweli nchi yetu itajengwa na chadema pekee? naomba tuongee ukweli tuache siasa za kishabiki haziwezi kutufikisha popote sisi watanzania wa...
Tangu sheikh yahaya ajipambanue kwa watanzania kuwa yeye ndiyo mchawi na mlinzi mkuu wa kikwete kwa kutumia majini, si kikwete wala makamba wala kinana wala riziwani wala salma kikwete...
WIKIQUOTES – Jakaya Mrisho Kikwete
Sourced
2005
It's very sad that Tanzania is a poor football country. If elected, I promise to put this country on the world football map. I will make...
Wale wanao sema Tanzania ndio Tanganyika ni kweli maana sijawahi kuskia hata siku moja kuwa Watanganyika wamekaa pamoja kuzungumza masuala yasio ya Muungano au kuwatowa wabunge wa Zanzibar katika...
CCM imetoa miezi mitatu kwa makada wake wanaotuhumiwa ufisadi wawe wamejitoa katika nafasi walizonazo katika chama. Sasa kama ni hivyo ina maana waendelee kutanua Serikalini na Bungeni? Ingekuwa...
Mimi nasikitika sana kuona sisi kamataifa moja tamaduni moja lugha moja tunakuwa na mawazo yakutengana kwakutafuta sababu eti muungano uvunjwe iwepo serikali ya zanzibar naserikali ya tanganyika...
Written by mkulima // 29/04/2011 // Habari // No comments
April 28, 2011
Rais Jakaya Kikwete
Zanzibar Daima imepokea barua ifuatayo kupitia njia ya e-mail kutoka kwa anwani iliyojitambilisha kama...
Julius Kambarage Nyerere, kwa moyo wake wote, fikra zake zote, kauli na vitendo vyake alipigania na kutetea Utu wa Taifa la Tanzania.
Utu wa Taifa ni heshima ya Taifa, Ni uzalendo wa taifa, Ni...
Makala iliyoandikwa na Ahmed Rajab katika Raia mwema ya wiki hii, ambapo pamoja na mambo aligusia hatua ambayo ilichukuliwa na Baraza la wawakilishi ya kupitisha sheria inayoondoa suala la mafuta...
na Asha Bani
IKIWA mapambano ya kudai katiba mpya yanaendelea, jumuiya na taasisi za Kiislamu Tanzania zimesema katika madai yao kutakuwepo na mapendekezo ya kuishinikiza serikali kuanzishwa kwa...
Wajumbe wenzangu JF:
Hivi kweli CCM wataweza kumaliza ufisadi hapa nchini? Inakuwaje tuhuma za ufisadi zachunguzwa na kumalizwa na vikao vya CCM badala ya vyombo rasmi vya sheria?
Someni hii...
Jamani mie kila siku nawatafakari Watanzania nashindwa kuelewa sisi ni watu wa aina gani?
Je sisi ni sawa na viumbe binadamu kama wengine au tuna mapungufu ya akili ukilinganisha na wanadamu...
Leo ni siku ya pili ninahudhuria semina ya maadili kazini inayp tolewa na taasisi ya maendeleo ya chuo kikuu cha dar es salaam na kufadhiliwana ofisi ya raisi, lengo hasa la semina hii ni...