Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Mimi hushangazwa na Watanganyika kukataa kujita Watanganyika hali ya kuwa Tanganyika ina historia yake uhuru wake na Tanzania ni jina lakuchomekwa tu. Jee hamuoni ufahari kulinda na kuenzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, TUMEKUWA tukitamka; Ukistaajabia ya Mussa , utayaona ya Filauni! Si wengi wenye kuyajua ya Mussa ni yepi na ya Filauni pia. Kuna simulizi niliyopata kuipokea. Kuwa alipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi limeanza kazi kwa kufanya mapinduzi makubwa kwenye bajeti yake ikiwamo kupunguza matumizi kwenye mambo yasiyo ya lazima huku ikiazimia...
8 Reactions
69 Replies
7K Views
2015 utakuwa mwisho wa WABAKA UCHUMI Siha na Tanzani kwa ujumla kwani nia ni kuingiza damu changa kwenye uongozi kuanzia Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Madiwani na Mbunge kwani hali ya Nchi...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Nakupenda Tanzania nchi yangu "YESTERDAY IS NOT OURS TO RECOVER, BUT TOMORROW IS OURS TO WIN OR LOSE." naipenda nchi yangu tanzania ndio maana siogopi kuitetea mbele ya maadui wake wakubwa...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
:disapointed:"kuna watu wameibebesha CCM mzgo mkubwa ambao umekigharimu, sasa hivi tunarejesha CHAMA kipya ambacho kigezo cha uongozi au ujumbe wa NEC hakitakuwa fedha tena......"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF Tangu wachaguliwe kuwa sekretarieti mpya ya ccm,wamekuwa wakipita sehemu mbalimbali nchini na kujieleza kuwa wao ccm ni chama cha wanyonge,na zaidi sana wanasema chama chao kilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimesoma makala ya Isango tz daima uk 5 nikacheka sana. Amekumbusha jinsi Makamba alimlaani nape na kusema amefungiwa mbinguni na duniani. alisamehewa lini? ccm haina tofauti na ze comedy
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mishahara duni,kukatwa kodi kubwa, gharama za maisha kuongezeka, mazingira magumu ya kazi na mafao kiduchu ya uzeeni ni mambo yanayopunguza ari ya kazi!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenye Kongamano lilofanyika Leo Chuo kikuu Dar es salaam Kuhusu ushirikiswhaji wa AZIMIO LA ARUSHA KWENYE MCHAKATO WA KUUNDA KATIBA MPYA , Profesa Shiji alionekana kutilia maanani zaidi MIIKO ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Abiria waendao mikoani na nchi jirani wamekwama ktk kituo kikuu mabasi Ubungo kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi tangu alfajiri leo RADIO1 STEREO
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mambo mengi yamekuwa yakitajwa kuwa ndio yamepelekea kuvunjika kwa AZIMIO LA ARUSHA.Lakini haya hapa ndio ukweli wenyewe. 1.HAKUKUWA NA UKWELI KATIKA BAADHI YA MISINGI YAKE Mfano...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
*Kesi ya Chadema Arusha yaibua mapya *Mahakama yaelezwa Josephine mjamzito Na Eliya Mbonea, Arusha KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, anatarajia kupata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini ufisadi wa Sh50.6 bilioni serikalini ukiwamo wa malipo yanayotia shaka ya Sh15.7 bilioni katika kipindi cha mwaka wa fedha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi yaani Mei Mosi kwa mwaka huu ni.. Serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa kama watumwa ndani ya nchi yetu.... Nadhani Mkewe na Serikali yake ujumbe huu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iramba Willison Msengi (katikati) akitoa tamko juu ya taarifa ya kukipaka matope chama hicho. Wa kwanza kushoto ni katibu wa CCM wilaya hiyo Sikujua Samwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[quote="Mag3, post: 1916788"][CENTER] Adaiwa kuwa bilionea kwa mgongo wa Ikulu Na Mwandishi wetu - Tanzania Daima. [LEFT] RAIS Jakaya Kikwete anakabiliwa na kashfa nzito...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Habari wana jamii, mimi na vijana wenzangu tuna hamu kubwa ya kujiunga na chama cha CHADEMA hapa mkoani Tabora. Nia ni kuleta changamoto kwa vijana wa CCM na CCM kwa ujumla. Vile vile nia yetu ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika Kongamano la Azimio la Arusha linalorushwa na ITV Live mzee J. Butiku ameeleza kwa nini azimio la Arusha lilikufa na tukajiingiza katika mfumo wa soko holela au ubepari. Alieleza jinsi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Tackle runaway cost of living to avert disturbances By Editor THIS DAY 28th April 2011 With the cost of living continuing to skyrocket, urgent measures are needed to save the general...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…