CHILIGATI kweli ameishiwa kifkra

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
:disapointed:"kuna watu wameibebesha CCM mzgo mkubwa ambao umekigharimu, sasa hivi tunarejesha CHAMA kipya ambacho kigezo cha uongozi au ujumbe wa NEC hakitakuwa fedha tena......". CHILIGATI.(Mwananchi,21, April 2011).
Kwa maelezo yake amekiri CCM imetekwa na mafisadi.
1. Chiligati sio mgeni CCM, yeye kama kiongozi wa CCM alifanya juhudi gani kulitokomeza hilo, au alikaa kimya?
2. Kama kigezo cha uongozi kilikuwa fedha, basi na yeye ni mmoj wao?

Napata wasiwasi na viongozi wa CCM ktk kujenga hoja, WOTE waropokaj!!!!!.
ni walewale kina MAKAMBA:A S 2152:
 
Back
Top Bottom