Onyo kali mafisadi,wabaka uchumi siha.

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
2015 utakuwa mwisho wa WABAKA UCHUMI Siha na Tanzani kwa ujumla kwani nia ni kuingiza damu changa kwenye uongozi kuanzia Wenyeviti wa Serikali za Mitaa,Madiwani na Mbunge kwani hali ya Nchi imefikishwa pabaya na Wazee ambao wameshindwa kuwakemea Ccm.Hakika tutapambana mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom