Mei mosi 2011, wafanyakazi bado hawana cha kujivunia

Shekiondo

Member
Apr 28, 2011
7
0
Mishahara duni,kukatwa kodi kubwa, gharama za maisha kuongezeka, mazingira magumu ya kazi na mafao kiduchu ya uzeeni ni mambo yanayopunguza ari ya kazi!
 
wewe wasema...

subiri watakavyotoka kwenye magazeti kesho wanavyogonga tano na mtu wenu.
 
Nimeona Rais akisimama bila Notice kutoka jukwaa kuu kwa speed ya ajabu na mpambe wake akawa anamfuata mbia mbio, Nilikuwa nafuatilia kupitia TBC na kamera zikawa zimeondolewa eneo la tukio, kama kuna mtu alikuwa nafuatilia kwa karibu anawaweza kutuhabarisha nini kilitokea. Tukio lilikuwa wakati wa kusubiri matumbuizo kutoka kikundi cha Ngoma.
 
Mgaya anamkumbusha Rais kuwa katika mei mosi ya kwanza kama rais 2006 alivyoahidi kuboresha mazingira yakazi na jinsi alivyoshindwa kushughurikia kero za wafanyakazi
 
Back
Top Bottom