Ikubali Tanganyika yenu hata kama jina linawadhuru

Status
Not open for further replies.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Mimi hushangazwa na Watanganyika kukataa kujita Watanganyika hali ya kuwa Tanganyika ina historia yake uhuru wake na Tanzania ni jina lakuchomekwa tu.
Jee hamuoni ufahari kulinda na kuenzi historia ya chimbuko la nchi nyenu? Kwa upande wa Wazanzibar wao niufahari kujita Wazanzibar na kwenda sambaba na historia yao.
Au ndio mulifuata mawazo ya Mwalimu Nyerere kuwa iko siku Zanzibar itasalimu ambri kuwa Tanzania na Tanzania kuwa Tanganyika, yaguju.
Rudisheni Tanganyika yenu mulioipigania kuna leo na kesho Muungano ukivunjika mutajita vipi na mutaielezea historia ya Tanzania vipi?.
 
Kweli Zanzibar mmeidanganya Tanganyika, mna nchi yenu nzima na kila kitu, na bado mnawatawala watanganyika kwa kisa eti serikali ya Muungano wa Tanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom