Nape Amelaaniwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Amelaaniwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, May 1, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nimesoma makala ya Isango tz daima uk 5 nikacheka sana. Amekumbusha jinsi Makamba alimlaani nape na kusema amefungiwa mbinguni na duniani. alisamehewa lini? ccm haina tofauti na ze comedy
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ahahahahahahahahhhhhhhhhhhhh
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni noma na balaa tupu!! Matatizo ndani ya matatizo....
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nape hana tofauti na Makamba.MAKAMBA YUPO MAKABURINI ANAMZIKA KAKA YAKE ANAMSIMAMISHA SHEKHE ANAMWAMBIA JAKAYA RAIS WAKE AMEMTUMIA SMS ANAWATAKIA FAMILIA POLE NYINGI,SASA NAPE NI ****,JAKAYA NI ****,MAKAMBA NI KALULU
   
Loading...