Ofisi ya chadema Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi ya chadema Tabora

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MndemeF, Apr 30, 2011.

 1. M

  MndemeF Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamii, mimi na vijana wenzangu tuna hamu kubwa ya kujiunga na chama cha CHADEMA hapa mkoani Tabora. Nia ni kuleta changamoto kwa vijana wa CCM na CCM kwa ujumla. Vile vile nia yetu ni kuimarisha chama katika ngazi za matawi yaliyopo hapa Tabora. Lakini tatizo liliopo ni wapi zilipo ofisi kuu za chama hapa mkoani Tabora?
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,088
  Trophy Points: 280
  Poleni sana makamanda,subiri wenye kujua watawajulisha,Mie niko Sikonge kama mngelikuwa huku ningewapeleka pale ofisi ya wilaya kwani tuna wiki3 sasa toka tuifungue huku Sikonge
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hii kwa kweli ni bad news kwa chama kama chadema kama hakitakuwa na ofisi tabora hii itakuwa mbaya hasa ukizingatia kuwa wanapokea milioni 200 kwa mwezi na swala la kuwa ofisi si tatizo kama fedha zipo na wanachama wachache wakuanzia, hii inanipa wasiwasi kama kweli chadema inajiandaa vizuri kwa mwaka 2015.pengine kuna haja ya kuanza kuwawajibisha viongozi wa chadema kwa maana ya kwamba viongozi wa kitaifa wanaweza kuwa wamejirundia kazi nyingi sana badala ya wao kuandaa mikakati na kuwatumia viongozi wa kikanda ktk utekelezaji na wao kuwasimamia. chadema might need to be decentralized ili kuongeza ufanisi. slaa alikuwa huko hivi karibuni probably anaweza kulijibu hili.
   
 4. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mm na mashaka na ww uliye post hii thread, Kwanza hili lengo la kuwapa changamoto vijana wa ccm si zuri coz mnachatakiwa ni kutoa changamoto kwa taifa zima na si kupambana na chama kinachokufa na pia msigeuze siasa kuwa km simba na yanga,wekeni malengo na mikakati mizuri, Pili sidhani kama mpo serious na kujua hizo ofisi zilipo,km mngekuwa serious msingeanza kupoteza muda wa kuja kupost huku wakati mnaishi huko na slaa katoka hapo juzi tu, Na bila shaka mtakuwa hamkuhudhuria mikutano ya slaa, Vijana wavivu na wezembe km nyie CDM hatuwataki coz mtarudisha harakati zetu nyuma.Amkeni fungeni mikanda saa ya ukombozi wa kujitolea hadi damu ndo huu.
   
 5. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ofisi za CDM Tabora ziko nyuma ya Msikini wa ijumaa ukiwa barabara ya kuelekea shule ya Town School kupitia msikiti wa Ijumaa. Fuata barabara hiyo nawe utaona bendera ina pepea na ofisi inafunguliwa siku zote za kazi siyo kwa msimu. Hata ukiuliza mtu yeyote Tabora anajua vizuri mahali zilipo labda kama hutaki kufuatilia. Asante. Kwa manano mengine barabara kupitia pale yanapopaki mabasi ya Shakila.
   
 6. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekosea samahani, nilikuwa namaanisha msikiti wa ijumaa wa Tabora mjini na siyo msikini wa ijumaa. Ilikuwa ni typing error tu. Asante kwa msamaha bure!!!
   
 7. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  je na wilaya zake cdm ina ofisi?

  Hii ni changamoto kwa cdm
   
 8. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ofisi za CDM Tabora ziko nyuma ya Msikini wa ijumaa ukiwa barabara ya kuelekea shule ya Town School kupitia msikiti wa Ijumaa. Fuata barabara hiyo nawe utaona bendera ina pepea na ofisi inafunguliwa siku zote za kazi siyo kwa msimu. Hata ukiuliza mtu yeyote Tabora anajua vizuri mahali zilipo labda kama hutaki kufuatilia. Asante. Kwa manano mengine barabara kupitia pale yanapopaki mabasi ya Shakila.


  Bila samahani mkuu umeeleweka vema. Nadhani ngd. Mndemef amekupata vema.
   
Loading...