Msekwa,Mukama ni mawakala wa umasikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa,Mukama ni mawakala wa umasikini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, May 1, 2011.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Ndugu wanaJF
  Tangu wachaguliwe kuwa sekretarieti mpya ya ccm,wamekuwa wakipita sehemu mbalimbali nchini na kujieleza kuwa wao ccm ni chama cha wanyonge,na zaidi sana wanasema chama chao kilikuwa kimetekwa nyara na matajiri
  Ni wazi mahubiri yao hayana hoja wala tija maana tabia zao hazifanani na kile wanachohubiri,wao wenyewe wanazunguka mlango wa nyuma na kuwakumbatia hawa matajiri,na watoto wao wanasomeshwa na hawa hawa matajiri
  CCm wameshindwa kubuni mkakati wa kuondoa umaskini kwa watanzania,na sasa wamefika mahali wanaona matajiri ndio kikwazo cha wao kuendelea kutawala
  ni wazi kuwa haya mahubiri yao yanalenga kuwafukarisha zaidi watanzani
   
 2. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa r1 siyo mwana ccm,siyo kiongozi wa uvccm?au yeye siyo fisadi??? Kama ni fisadi mwingine anatofauti gani na rechel??? Jumuisho=ccm ni chama cha mafisadi. hUU NI MFANO MMOJA TU, WAPO WENGI CCM KAMA R1, MSEKWA, MKAMA,NAPE,CHILIGATI, acheni giliba za kisiasa-WATANZANIA TUNAELEWA SISI SI WATOTO WAGODO WA KUGANGANYIWA PIPI/JOJO.
   
 3. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  mbwa ni mbwa tu hata ukimpakia kwenye ndege atabweka tu
   
 4. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Na sasa ndio anguko lao
   
Loading...