Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi, mei mosii kwa mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi, mei mosii kwa mwaka huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by measkron, Apr 30, 2011.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Kauli mbiu ya siku ya wafanyakazi yaani Mei Mosi kwa mwaka huu ni.. Serikali isipojali maslahi ya wafanyakazi tunakuwa kama watumwa ndani ya nchi yetu.... Nadhani Mkewe na Serikali yake ujumbe huu utamfikia....Tafakari na chukua hatua
   
 2. n

  neyro JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  hii umeitunga wewe au?
   
 3. z

  zamlock JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwa nini kikwete awe mgeni rasmi mei mosi
   
 4. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
 5. n

  neyro JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  sanx kwa ufahamisho. Nilitaka kujua mkuu
   
 6. m

  makaptula Senior Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hii noma. Akili kumkichwa
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hapo penye red, au ******?
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Kama ni mimi siendi kuwa Mgeni rasmi na kauli mbiu kali na ya kiutu uzimia namna hio!! Hapo ata wasiposoma risala, huo ujumbe ni risala tosha! au uongo wakuu??
   
 9. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  si kuna mbayuwayu na hong'ona
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kauli mbiu ya ukweli, yenye kilio cha wafanyakazi wa tanzania!
   
 11. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kauli mbiu imetulia hiyo,nadhani ujumbe utawafikia wahusika kikwelikweli.
   
Loading...