Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amani au mfuko wa cement 5000? Amani au treni ya umeme hadi mwanza? Amani au mshahara wa kima cha chini laki 4 kwa mwezi? Amani au dar kutokuwa na foleni? Amani au uwepo wa ajira za kumwaga? Amani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
BAADHI ya madereva wa mawaziri na naibu wao wamewashutumu mabosi wao kwa kuwatumia zaidi kama wafanyakazi wa nyumbani, jambo ambalo ni kinyume cha taratibu. Madereva hao pia wamelalamikia magari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CCM wamefanikiwa kuua upinzani Zanzibar na CUF kwa ujumla. Baada ya uchaguzi 2015 CUF itakuwa historia tu, na Maalim Seif atastaafu kama 1st Vice President kwa heshima zote na marupurupu ya CCM...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
RAIS Jakaya Kikwete kesho ataanza ziara ya siku tatu mkoani Mwanza hii ikiwa ni ziara yake ya kwanza baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba mwaka 2010 na chama chake kupoteza...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Polisi wadaiwa kuchoma 'majeneza' ya Chadema SAKATA la mauaji ya wananchi wanne katika mgodi wa Nyamongo uliopo Tarime, mkoani Mara umechukua sura mpya baada ya ndugu wawili wa marehemu...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema 1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Ule moto wa kuwababua mafisadi uliokolezwa Dodoma katika vikao vya kamati kuu ya Chama Cha Mpinduzi na hatimaye kubarikiwa na Halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, sasa umelipuka mkoani...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi wa CCM Nape ameitaka serikali iwachukulie hatua wanao kwepa kulipa kodi ikiwamo CCM wenyewe. Alitoa kauli hiyo baada TRA kueleza kwamba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
UPDATED 26/05/2011 kumbe njia hakikufunguliwa umma ulidanganywa Mipango Miji yambana Spika afungue barabara Spika wa Bunge, Anne Makinda Joseph Zablon MWENYEKITI wa Kamati ya Mipango Miji na...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Leo kaika mkutano wa CDM katika eneo la sokoni Majengo mjini Moshi Lema na Lisu waliishambulia serikali kwa vitendo vyake vya kuua raia wasio na hatia. Watu walikuwa wengi ile mbaya, walikuwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mbunge wa Tarime Nyambari Nyangwine live cloudz msikilizeni yupo na kina Hando
0 Reactions
81 Replies
9K Views
wakuu mwenye taharifa ya maendeleo ya waziri mkuu wetu atujuze ....je amesharudi nchini toka matibabuni na tuambiane hali yake wakuu na habari zingine kwa ujumla
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amesema wakazi wa vijiji kadhaa vya wilaya ya Mbarali ambavyo vimo ndani ya ramani ya hifadhi ya bonde oevu la Ihefu kuwa wanapaswa kuondoka ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgombea urais wa UPDP aliyejitoa leo, Huyu jamaa ni nani hasa?..
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nape nilikutahadharisha mapema, Acha kung'ang'ania kutaka kuvaa koti la Dr. Slaa hukunielewa. Oh Dr.slaa ni fisadi, Dr Slaa akakataa kukuvalisha Koti lake akaamua kukupatia koti jepesi kabisa...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Wazee nimesika kwa mabli kwenye TBC kuwa Dr. slaa katoa tamko kuhusu amri ya hakimu kule Arusha ya kutaka wakamatwe. Aliyesikia alilosema atujuvye.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA! " Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya...
0 Reactions
70 Replies
13K Views
CHANZO: RAIA MWEMA (Mei 25 - 31, 2011) Kikwete na porojo za CCM kujivua gamba - Ni ‘usanii' wa kusafisha njia kwa anayemtaka 2015 Itakumbukwa kwamba, Februari 5, mwaka huu, kwenye...
5 Reactions
133 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…