Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masikini Jeuri, May 28, 2011.

 1. M

  Masikini Jeuri Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA!

  " Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita shyrose alitoa sapoti kubwa sana kwa chama cha CHADEMA ila hakupewa adhabu.

  Mbali na hayo Idd Azzan wiki iliyopita alipigwa zengwe na moja ya vigogo hao wa CCM kuwa eti ni pusha mzee wa mapouda..!

  Siasa za kulipuana ndiyo umekuwa mtindo mpya wakukomoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)."

  [​IMG]
  [FONT=&quot] Shrose Bhanji[/FONT]

  [​IMG]
  Idd Azzan(mbunge wa kinondoni)

  SOURCE Unique Entertainment: IDD AZZAN AMLIPUA SHYROSE BHANJI KUHUSU KUJIHUSISHA CHADEMA...!!
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hata wakichinjana natajijua na Chama Cha Magamba (CCM)
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nadhani atakuwa amekusikia na kukuelewa
   
 5. M

  MWANAHARAKAtii Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaha ndo yale ya kina mpendazoe yatamkuta shy,alianza hayo baada ya kutemwa kino,kazi ni kwako
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Sasa nani msafi huko kwenye magamba?
   
 7. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Muacheni shemeji yetu shy jamani apate tulizo la roho yake. Ni upendo tu kwa Sugu si kingine.
   
 8. M

  Masikini Jeuri Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo sapoti yote aliyoitoa ilikuwa SABABU YA JAMAA SIYO..BIBIE YUKO KATIKATI YA CHADEMA NA CCM
   
 9. M

  Masikini Jeuri Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yoooote ni MAGAMBA TU
   
 10. M

  Masikini Jeuri Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu huyu dada Harakati zake atazihamishia CHADEMA SOON..
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wacha walipuane tu sie wengine tulipoanza kuona wauza unga na wazee wa madili wameingia CCM tuliamuaga kujitoa zamani!!! Sasa hivi tunakaa pembeni hatuna chama na kula popcorn kuangalia sarakasi.
   
 12. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mwacheni shemeji yetu alitoa sapoti wakati wa uchaguzi kwa sababu ya lazizi wake kuwa CHADEMA na je IDD AZAN ataweza vita na shy? kwani shy anajua kweli kutumia vyombo vya habari
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Safi sana...Kama walikuwa wanawasha moto kwa mafuta ya taa basi tuwatafutie petrol kabisa....

  CCM haiwezi kuuepuka mwisho wa namna hiyo...Ukishakula nyama ya mtu huachi!
   
 14. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ccm itaishia mwanzoni mwa mwaka 2014. Yakumbuke maneno aya.
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Laiti ingezimika hata leo kama moto wa kibatari...Kuendelea na madudu yake ndio kunatusababishia kadhia zote tunazopambana nazo!
   
 16. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Ebwana dah!
   
 17. G

  Godwine JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kwa akili zangu ndogo nadhani mapigano yao ni ya mahusiano kwani zamani walikuwa wakionekana pamoja sasa iweje leo wanagombana kiasi hiki
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 19. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Aaaaah..!!!! Sinema mpya hiyo!
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sijamjua dairekta wa episode hii
   
Loading...