Je, Ni laana ya CHADEMA?

tzjamani

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
995
30
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia CHItanda ofisini.
Je ni laana?

CHADEMA walitakiwa kuongoza kambi ya upinzani lakini mizengwe ikafanyiwa ba kina H. Rashid wa CUF, sasa wana mgogoro na H Rashid ametolewa kwenye uongozi.

Je ni laana?

Naamini wenzangu kuna mengine mengi toka wakati wa uchaguzi ambayo yametokea kuhusu CHADEMA kuonewa..................................endeleza.
 
Haha,yawezekana ni laana na bora uiepuke kama unajipenda!
Anakuja Ndovu Twaa nae anataka kuivaa chadema,kesho utaambiwa mke na watoto wame mkimbia
 
Kweli mkuu hata wakina Makamba Snr na Tambwe walikuwa wakitoa maneno ya kejeli kwa waTz Tambwe alipeleka watoto kwenye mjadala wa sheria ya katiba, Makamba naye alisema hakuna haja ya Katiba sasa wako wapi ni LAANA YA WATANZANIA
Peoplez Power
 
Ni laana Juzi tu hapa Lipumba alishindwa kukemea wabunge wa CDM kuswekwa ndani leo Magdalena kaweka ndani na polisi hao waonevu na kuuuwa wananchi nao wataandamana sasa wanapaswa kujua kwamba nchi ni yetu tunapaswa kuipigania na kutetea haki za wananchi badala ya matumbo
 
Acha mawazo finyu ya kuamini vitu visivyo na misingi thabit. Leta hoja zenye msingi kwa manufaa ya watanzania. Ikiwa laana au baraka haitusaidii wala haileti manufaa kwa wa tz.
 
Ninachoamini ni kuwa CHADEMA wanapigania haki ya wanyonge na amani ya kweli. Sijui umetoka kwa jamii gani ambayo haiamini kutenda mambo mema na kwamba ukiwa mtenda maovu laana itakupata.
 
Haki haidhulumiwi bali inacheleweshwa. Mtenda maovu kwa faida yake lazina laana imkute. Acha wanamagamba watafunane wenyewe kwa wenyewe na watawala wenzao CUF, Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia CHItanda ofisini.
Je ni laana?

CHADEMA walitakiwa kuongoza kambi ya upinzani lakini mizengwe ikafanyiwa ba kina H. Rashid wa CUF, sasa wana mgogoro na H Rashid ametolewa kwenye uongozi.

Je ni laana?

Naamini wenzangu kuna mengine mengi toka wakati wa uchaguzi ambayo yametokea kuhusu CHADEMA kuonewa..................................endeleza.

Hebu nikumbushe kati ya BARCELONA na MANCHESTER nani alishinda vile ?
 
Bado mchakachuaji wa kura, asubiri laana yake wakati wa uchaguzi ndani ya chama.
 
Najiuliza CHADEMA waliomba maandamano ya amani Arusha yakavurugwa na Polisi. Hii ni baada ya uchaguzi wa Meya kuchakachuliwa chanzo Chitanda. Sasa kuna ugomvi Arusha, UVCCM wanataka kumfungia CHItanda ofisini.
Je ni laana?

CHADEMA walitakiwa kuongoza kambi ya upinzani lakini mizengwe ikafanyiwa ba kina H. Rashid wa CUF, sasa wana mgogoro na H Rashid ametolewa kwenye uongozi.

Je ni laana?

Naamini wenzangu kuna mengine mengi toka wakati wa uchaguzi ambayo yametokea kuhusu CHADEMA kuonewa..................................endeleza.

Chama cha mazuzu kilichakachua matokeo na sasa kuna mpasuko kama ule wa bonde la ufa na nina uhakika utawala huu hautafika 2015
 
wala si laana bali ni ukweli ambao ccm na wenzake wanakataa kuukubali kuwa cdm wako sahihi. Sasa ukweli unawatafuna
 
Back
Top Bottom