Nape: Vyama vyote vilipe kodi

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi wa CCM Nape ameitaka serikali iwachukulie hatua wanao kwepa kulipa kodi ikiwamo CCM wenyewe.

Alitoa kauli hiyo baada TRA kueleza kwamba chama cha CHADEMA hakijalipa kodi ya mishahara ya watendaji wake, tangu mwaka 1992.
 
Nyerere hakuliona iweje Nape? Mi nadhani wangeanza na CCM halafu ndo waje kwenye Vyama vingine.
 
Ni vigumu kuamini kuwa kwa miaka yote hii tumekuwa tunaongozwa na hawa mufilisi wa akili na utashi. Shocking.
 
Sitaki hata kumsikia huyu dogo. Mpuuzi! He has been always posting nonsense and do a shit!
 
mnamchukia nape kwasababu anawaambia mkalipe kodi.

inakuwaje muuza mitumba analipa kodi huku katibu wa chama halipi na haoni ubaya kwamba halipi
 
Hii ni kwa ajili ya mafisadi wanataka kufisadia mpaka pesa za vyama Pinzani,DOGO HOJA ZA MAGAMBA ZIMEMSHINDA ANAANZA KURUKIA MAMBO MENGINE!
 
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam,jana Nape alisema kutolipa kodi ni tatizo kubwa,viongozi wasiasa wasipo wajibika katika ulipaji kodi tatizo hili litaendelea kuwa kubwa zaidi.Msifuatilie TRA tu nendeni hata kwenye mifuko ya jamii kama fedha zinapelekwa alisema nnauye.
 
Katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenezi wa CCM Nape ameitaka serikali iwachukulie hatua wanao kwepa kulipa kodi ikiwamo CCM wenyewe.

Alitoa kauli hiyo baada TRA kueleza kwamba chama cha CHADEMA hakijalipa kodi ya mishahara ya watendaji wake, tangu mwaka 1992.
MAana yake ccm walipe toka 1977 na kwa sababu ni warithi wa TANU na ASP basi watalipa toka 1961
 
tunataka vijana kama hawa wenye uthubutu wa kusema kweli.
haiwezekani mama ntilie au chinga alipe kodi wakati dr slaa/mnauye wanaendesha mashangingi kwa kodi zetu kisha wasilipe kodi
tufikie mahali tukubali kizuri kinachofanywa hata na mpinzani wako
 
Hii haieleweki, kodi katika posho, au mishahara au net profit za vyama. Hivi vyama vyote vina sukita, na viwanja porwa vya mipira NK?:A S 103:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom