Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustakabali wa Mbowe na CHADEMA wazidi kuwa mgumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kingxvi, May 28, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mambo yanazidi kuwa magumu kwa bwana mbowe kila mda unaposogea ndani ya chadema
  1.anajilaumu mwaka jana kumpa nafasi dr slaa mwaka jana kugombea urais kwani ameiua ndoto yake kwani hata 2015 wanachadema wengi wanataka agombee slaa na si mbowe amefunikwa kwa umaarufu
  2.uchaguzi wa nafasi ya mwenyekiti kwani zitto kabwe 2009 aliambiwa asubiri 2013 je watamruhusu agombee? Pia wengine wanashauri nafasi ya uenyekiti apewe dr.slaa
  3.mbaya zaidi mpaka sasa wana chadema wa 5 wametangaza kugombea urais kupitia chadema 2015 mbowe ambaye sasaivi anajitaidi kutafuta umaarufu ndio mana akaamua hadi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ili ajijenge kisiasa. Dr Slaa pia kuna Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof Baregu.

  Source: Hoja Newspaper
   
 2. E

  ELIHURUMA Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pole!endelea kutunga tamthilia yako!
   
 3. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maumivu ya kichwa huanza polepole
   
 4. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Maumivu yakizidi, tumia kikombe cha babu
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hoja ndo gazeti gani?
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mgamba wamefilisika kimawazo hawana jipya
   
 7. The Magnificent

  The Magnificent JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,669
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Huyu katumwa co bure..!..Mmmh,bt ana logic huyu jamaa
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  huu upepo ni wa ni nini huku?
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wapumbavu hutambulika kwa maneno yao.
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Ni gazeti linalomilikiwa na umoja wa vijana wa ccm (uvccm)
   
 11. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Hakuna hoja hapo, Mbowe akishirikiana na Dr Sla ameimarisha cdm kwa muda ambao amekuwa mwenyekiti wa chama na kama lengo lake lilikuwa urais na umaarufu angegombea yeye 2010 badala ya Dr, lakini kwasababu chama kinaongozwa kisayansi walipopokea ripoti ya kitaalam iliyoainisha nani anafaa kuwa mgombea yeye na wana cdm wote waliikubali na ndipo Dr akapewa nafasi ya kugombea urais. Kumbuka hata 2015 chama kitafanya mambo kitaalam zaidi.
   
 12. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  muwe mnaacha mambo ya kitoto nyie ndio uwezo wenu wa kufikiri upo chini ya kiwango ndio maana hata mawazo yenu yanafanana kila mtu akipost against kuhusu chadema lazima mumshambulie haijailishi ameandika ukweli au vipi mnakurupuka muwe mnafikiri haiwezekani mda wote tuisifie chadema as if wenyewe wako parfect wala hakuna migogoro ya chinichini mi nimeleta mada ijadiliwe kama unaona ipo chini ya kiwango au ni uongo unaipotezea sio kupost pumba
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,850
  Trophy Points: 280
  Hilo gaze linapatika tz hii au oman? Ni gaze lenye hoja kweli au udaku?
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  What is "charting"?
   
 15. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkono wa mjinga huandika chochote.
   
 16. escober

  escober JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  this man is thinking from the back
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Crap crap this,magambazzzzz.com hamlali hamtulii mtafikiri mmekalia moto!!!!siku kwenu haiwi siku mpaka muitaje Chadema
   
 18. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Consult your dictionary
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ninyi watoto wa nyoka acheni kumwaga sumu humu. Mmezewea majungu kama wazazi wenu. Kila kukicha huyu hivi yule vipi. fitna na majungu hamna issue? Haya pelekeni list hii hapa chini kwa hao waliowatuma maana wamejisahau ni nini waliahidi na wajibu wao ni upi.

  1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36.Kulinda haki za walemavu - Makete
  37.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43.Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
   
 20. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nani kashinda kati ya man na barca?
   
Loading...