Hali ya Pinda inaendeleaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya Pinda inaendeleaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godwine, May 28, 2011.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  wakuu mwenye taharifa ya maendeleo ya waziri mkuu wetu atujuze ....je amesharudi nchini toka matibabuni na tuambiane hali yake wakuu na habari zingine kwa ujumla
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  Jana ameonekana amekaa anashuhudia utiaji sahihi kati ya tz na india....juzi alikuwepo uwanja ndege kumpokea PM wa India!!
   
 3. m

  mohermes Senior Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa pinda amesharudi na jana alikuwa kwenye ziara ya waziri mkuu wa INDIA. alipotembelea chuo cha DIT pamoja na kikwete.
   
 4. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Alikuwa kwa Babu ? Au
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh nae anaumwa?
  viongozi wengi wagonjwa aisee,ndo maana sichoki kusoma!
  pole zake
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  huyu mbona mgonjwa siku nyingi
   
 7. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Nchi hii bwana hata PM au Rais wawepo wasiwepo hakuna tofauti
   
 8. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa babu ataenda wkt akienda kuangalia maendeleo ya ujenzi wa brbr inayoelekea samunge hlf atasema c vibaya na mm nikipata kikombe teh teh hah hah
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  teeh teeh teeh! Kumbe mkuu unavizia ehe? Aya kaka. Pinda pole kwa kuugua natumai umerudi kwa afya yako. Pole.
   
 10. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jana tulikuwa nae kwenye sherehe ya send off diamond jubilee na alionekana bomba tu.
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  anaumwa nini?
   
 12. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ugonjwa
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  magonjwa yao umeyasahau?
  Ni presha na kisukari!
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Wataanza kufa kwa B.P. ya kushuka muda wa ukombozi utakapokaribia
   
 15. G

  Godwine JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  nashukuru wajumbe kwa habari zenu ...kwani sikuwa na taharifa zake toka alipoenda German kwa matibabu
  pia namtakia afya njema kipindi cha utawala wake kwani ni kigumu na kina harakati nyingi sana
   
 16. c

  chief m Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo nayo ni habari
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwani amefariki???jamani mlio huko sumbawanga tunaomba mtujuze!
   
 18. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mambo ya kufa yanatokea wapi sasa? Si alikuwapo juzi kumpokea Singh wa India, au baada ya kumpokea naye akakwea pipa kwenda kutibiwa India?
   
 19. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tehe tehee kama kawaida..! ndo janja yao
   
 20. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Aligonga kiroba?
   
Loading...