Tamko la dr. Slaa kuhusu amri ya hakimu arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la dr. Slaa kuhusu amri ya hakimu arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutakyamilwa, May 29, 2011.

 1. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 992
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 180
  Wazee nimesika kwa mabli kwenye TBC kuwa Dr. slaa katoa tamko kuhusu amri ya hakimu kule Arusha ya kutaka wakamatwe. Aliyesikia alilosema atujuvye.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mzee unaleta tetesi au ?
   
 3. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 992
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 180
  No nimesikia TBC, lakini Msami hakusema ameongea nini. Alimwonyesha Mbowe kwenye uchaguzi wa vijana bado unaendelea
   
 4. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ajajisalimisha kwenye nyumba moja ya jk j3
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,564
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kesi ya jinai haiwezi kusikilizwa kama mstakiwa mmoja hayupo so wao kama viongozi wa kitaifa na wabunge kupitia wakili wao waliomba kutohudhuria mahakamni hadi hapo mshtakiwa mwenzao atakapokuwa kwenye hali ya kiafya itakayo mruhusu kuhudhuria mahakamni ili kesi iendelee. Hiki ndicho alicho sema Dr. W.P. Slaa
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ngojea tusikie lini watakamatwa ndipo tutajua kwamba huyu hakimu ni mmanyi wa sheria za makosa ya jinai
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona mwengine alisema ni sababu za kazi za kamati sio ugonjwa?
   
Loading...