Kipi ni bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipi ni bora?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, May 30, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amani au mfuko wa cement 5000? Amani au treni ya umeme hadi mwanza? Amani au mshahara wa kima cha chini laki 4 kwa mwezi? Amani au dar kutokuwa na foleni? Amani au uwepo wa ajira za kumwaga? Amani au kutokuwa na mafisadi? Amani au kutokuwa na uzembe maofisini? Amani au kupata umeme na maji safi kwa uhakika? Amani au kila mtu kumiliki toyota? Amani au watu kuishi kama wapo luxemburgo?...etc. I would go for amani! Hamna kitu muhimu kama amani! Nenda kawaulize rwanda and burundi wanajua,leo hii kule kila mtu ameokoka,thats why huwa 2nashangaa jinsi wanavyompokea kakobe kule,they know nini maana ya kukosa amani! Ndo maana maombi yao makubwa ni amani,amani,amani and siyo cement,cement,cement!! Jesus said nawaachia amani,peace be unto you! Enyi wakubwa mlioanza kushawishi umwagaji wa damu na kushangilia misiba kwa manufaa yenu ya kisiasa mshindwe! Tuachieni amani yetu,kama vipi nendeni moshi mkaanzishe chagga nation then mchinjane wenyewe kwa tamaa zenu za fedha na madaraka!! KIPI BORA KATI YA TABASAMU LA JK NA HASIRA NA KUTOA MIMACHO KWA PADRI?
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Essentially, unachouliza Tolowski ni kwamba tunataka amani au tunataka kuishi (peace or life)? Mtu yoyote mwenye akili timamu atakuambia anataka kuishi meaning life. Na ndio sababu wale uliwaita wavuta bangi wanajitokeza kwenye mikutano ya chadema, maana wanataka kuishi - chadema is LIFE.

  CCM on the other hand means death au kwa lugha ya 'kimjini mjini' wanasema amani. Si umeona Tarime, Arusha, na jana Tabora. That is ccm amani for you!

  Nachagua kuishi, nachagua CHADEMA.
   
 3. k

  kiloni JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  you are insane!
  Vitisho hivyo vilikuja 1995 kampeni za uchaguzi zilitawaliwa na vita vya rwanda. "ukichagua upinzani utaanguka kwenye vita kama rwanda" crazy.
  Nini maana ya amani?
  Umelipwa bei gani na mafisadi kuandika utumbo huu. Umelipwa bei gani kutetea amani ya mafisadi. Au na wewe ni mmojawao???!!!
   
Loading...