Lema na Lissu waushambulia Mji wa Moshi

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Leo kaika mkutano wa CDM katika eneo la sokoni Majengo mjini Moshi Lema na Lisu waliishambulia serikali kwa vitendo vyake vya kuua raia wasio na hatia.

Watu walikuwa wengi ile mbaya, walikuwa watulifu na wasikivu kwa hoja za wabunge hao wa upinzani.
 
Go go chadema na picha pls maana mashambulizi kote kote, nataka tamko rasmi kutoka kambi ya upinzani kuwa Polisi wa Tanzania ni wauaji sio walinzi wa raia kama tunavyodhani; message fupi na iliyo very clear
 
Mie sikuweza kuchukua picha,
Nawaomba wanachama wa CDM wa Moshi walioko hapa JF watusaidie.

Mkuu picha kwa sasa haitawezekana kwa sababu kuna vitoto vidogo hatujajua kwa nini imekuwa hivi
 
HIzi Harakati zisiishie moshi tu tuanze na mashambulizi kanda ya Magharibi kuanzia sumbawanga Tabora Kigoma Bukoba turudi LINDI na Mtwara
 
Mkuu picha kwa sasa haitawezekana kwa sababu kuna vitoto vidogo hatujajua kwa nini imekuwa hivi
Vitoto uliwapa kazi ya kupiga picha ?
Ni lini Mgamba akaleta picha ya mkutano wa CDM
 
Mkubwa yoyote mwana Jf huko moshi tunamba picha harafu harakati ziende kanda ya pwani.
 
Twanga kotekote,mpaka kieleweke,na ikiwezekana kazi yote ije ifungiwe hapa arusha,
 
Sasa cdm wanaelekea kugusa sehemu nyeti za nchi, mkitoka huku nafikiri itakua wakati muafaka wa kuwatoa wananchi wa dar matongotongo
 
Moto huo hautakiwi kuzima yaani uendelee moja kwa moja mpaka 2015 tutakapochukua nchi kutoka katika makucha ya mafisadi!!
 
Mkuu picha kwa sasa haitawezekana kwa sababu kuna vitoto vidogo hatujajua kwa nini imekuwa hivi

Kuwa gentleman maana yake kwanza nikuwa mkweli, kama umeona kuku unasema kuku na bata unasema bata, ukisema ndio ina maana ndio na si vinginevyo, vipi Makupa wewe upo vipi...
 
Mkuu picha kwa sasa haitawezekana kwa sababu kuna vitoto vidogo hatujajua kwa nini imekuwa hivi

we vp una picha lakini umeenda cafe ukakuta vitoto ndo unaogopa kuweka picha?kwani we punguani?au picha umeziiba?mbona hata vitoto vinajua kuwa sasa kuna mtu anaitwa Lema na Lissu? Double L?? Usiwe kama...nakushauri urudi cafe ukaweke picha? Hata ukikuta cafe kuna nape au mukama,ujue anacheza game au anaangalia katuni,we pita uombe pc no20 kule kwenye kona uapload picha. Twasubiri dogo,sawa sawa!??
 
Hongera sana Waheshimiwa LISSU, LEMA (CDM) kazi mnayoifanya si haba naikumbuka sana kauli ya HALIMA MDEE Bungeni { yuko wapi MDEE mbona kimya} hakuna kulala mpaka kieleweke na kikieleweka tutapiga kazi ya kujenga uchumi endelevu na sitahiki

Sasa iwe zamu ya kijiji kwa kijiji kuwakomboa watu Kifikra na mtazamo mpya wa Tanzania ijayo 2015 ni lazima kila kitu kiwekwe bayana

:smow: ila mvua kali mmmmmmmmmh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom