KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gambatoto, May 27, 2011.

 1. g

  gambatoto Senior Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape nilikutahadharisha mapema, Acha kung'ang'ania kutaka kuvaa koti la Dr. Slaa hukunielewa. Oh Dr.slaa ni fisadi, Dr Slaa akakataa kukuvalisha Koti lake akaamua kukupatia koti jepesi kabisa kutoka kwa Mpendazoe. Looooh, unahema nalo karibia kuzimia, Je Docta wa Ukweli angekuvalisha la kwake si ungekufa?

  Docta wa Ukweli alishawavalisha baba zako mpaka leo wanashindwa kulivua na ndilo lililosaidia hata wewe kupata nafasi uliyonayo. Sasa ndugu yangu, ukiweza kulivua la Mpendazoe, utapewa lingine na si la Dr. Slaa usije ukatufia bure.
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahahahahahah:dance::dance::dance::dance::dance::dance:
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,791
  Trophy Points: 280
  Ahaaaa! Ahhaaaaa hii lugha ya kiswahi tamu sana! Nimekubali kiongozi, Nape kimyaaaa kabisa!!! Nakumbuka bosi wake alisema sasa umefika wakati wakuwajibu wanamageuzi, nilijiuliza sana kama je wataweza kujibu? Sasa yamemkuta.
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Walimpa kazi ngumu sana, wakati tayari alikuwa na lana ya Makamba ya kufungiwa Duniani na Mbinguni ukiongeza kuwa hata shule hakuenda basi vurugu tupu!
   
 5. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hakutegemea kuwa yatasemwa hayo
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa namheshimu sana huyu jamaa kabla ya kuwa mwenezi wa chama cha magamba.Lakn kwa sasa nimesha mrank kwenye kundi la akina makamba na tambwe.Hawezi kujibu hoja anaweza umbeya tu.Kwa sakata la ccj limeonyesha huyu jamaa ni mchumia tumbo lakn pia limekianika chama cha magamba kuwa hakina inteligensia maana wa2 walianzisha ccj bila uongozi wa juu kufaham na baadaye hao wa2 ni viongozi ndani ya chama cha magamba kama akina sita,mwakyembe,nape na wengine ambao hawajaguswa kwa sababu hawajapayuka
   
 7. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Samahani wakuu, kwani MpendaZoe ipi mpya tena? sijaingia humu ndani all th day :msela:
   
 8. g

  gambatoto Senior Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa swali mkuu:mimba:
   
 9. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hana lolote anafikiri ni blah blah ajibu tuhuma maana hata za Dr likuwa hajajibu tuhuma hata moja ila kusema Dr ni fisadi, na kuungwa mkono na magamba menzie
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mpendazoe kaua kabisa,kasambaratisha chama!
  Yaani ingawa wengi walimlaum kwamba hayo sio mambo ya msingi
  ya kuongelea saivi (na kweli sio),ila ni mazuri sana kwa magamba kujikuna day n night!
  HADI MUWASHO UKIISHA,2015 hawajaleta hata mtumbwi ziwa victoria,kigoma itakua kama wapi sijui
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  mpendazoe alichukua uamuzi nape akasitasita sasa hafai potepote acheck na CUF may be
   
 12. g

  gambatoto Senior Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hata CUF hawafai, Hamad Rashid kavuliwa gamba.:biggrin1:
   
 13. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili shairi, mnanda, twist ama taarab ??
   
 14. g

  gambatoto Senior Member

  #14
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yote majibu mkuu, chagua lililosahihi zaidi.:smow:
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kwenye gazeti la Raia Mwema kuna jamaa anajitambulisha kama "Msomaji Raia"
  Kwenye gazeti la MwanaHalisi kuna jamaa anajitambulisha kama "Kondo Tutindaga"
  Sifa kuu ya hawa waandishi wawili wa magazeti hayo tofauti, ni kuwa wote wanaijua sana CCM.
  Sanasana wanamjua sana mwenyekiti wa CHAMA.
  Katika wiki hii wote wamezungumzia umuhimu wa "wahaini" wa chama kutemwa,
  HApo kwa mbali nikaanza kuona hatima Blaza Nape, nikacheka tu!​
   
 16. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hilo ni neno moja au mawili ??
   
 17. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,201
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 160
  Kwa mtazamo wangu nahisi huyo ni mtu mmoja anatumia majina tofauti. Wote walianza kuandika kwenye magazeti husika wakati wa uchaguzi mkuu huyu wa kwa Mwanahalisi alikuwa anajiita mwandishi maalum. Huwa sikosi kuwasoma hawa jamaa kwa sababu huwa nahisi kama anayeandika ni Salim Ahmed Salim, Joseph Butiku, Warioba au Fredrick Sumaye. Ni watu wanoonekana wako karibu sana na wenye "nji hii"
   
 18. Niko

  Niko Member

  #18
  May 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi koti likikushinda linakudhuru vipi, linakuangusha? Misemo ya kibongo mingi kwangu hai make sense.

  Anyhow, bomu la Mpendazoe halijawa na devastating, lasting impact kwa Nape, labda amejisikia aibu mbele ya kina Kikwete siku mbili tatu, lakini hakuna atakae dai, kwa mfano, ajiuzulu kwa sababu alitaka kuhama chama. Scandle hazimuangushi mtu Tanzania.

  Lakini kikubwa zaidi kuhusu udhaifu wa Nape ni kwamba kwa kweli toka aingie kumekuwa na chaos rather than calmness kwenye chama, kutokana na motormouth yake magazetini, mitandaoni, majukwaani, na mabarabarani. Kazi inamshinda.
   
 19. g

  gambatoto Senior Member

  #19
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni lugha tu mkuu, ulichoandika ni kilekile hakuna tofauti na wazo la awali. Kwenye Blue hilo ndilo Koti lenyewe.
   
 20. g

  gambatoto Senior Member

  #20
  May 28, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namna gani hili "Kandambili, Sukumawiki" ni neno moja au mawili?
   
Loading...