Monday, June 27, 2011, 6:29
Habari, Mtanzania
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekubali kufanya kazi bungeni na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Taarifa...
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu...
MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA) Bw.John Shibuda, amesema utendaji mzuri wa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, unavurugwa na baadhi ya
mawaziri aliodai ni mzigo ambao hawana utashi na...
Imekuwa sasa ni fashion kwa watendaji wa serikali kunyamazisha hoja za wazalendo kwa kudai eti huyo mtu anatafuta umaarufu hii kauli sasa imekuwa kama ndo mtindo mpya wa kuzima hoja za watu na...
:bange: Allow guys, kwanza kabisa napenda kushukuru kuvumbua ukurasa huu kwa kweli umenivutia saana. lninajmbo ambalo sielewi. Uchumi USA unakuwa kwa mwaka kama asilimia 2 hivi lakini wananchi...
HOTUBA NA NAPE YALIZA WATU MKUTANONI,
MBUNGE WA CUF NA WAFUASI WAKE WAMSHANGILIA
NA BASHIR NKOROMO, KILWA
HOTUBA aliyotoa Katibu wa NEC Itikati na Uenezi CCM Nape Nnauye, juzi
katika mji...
Wana JF napenda nichukue nafasi hii kuwahabarisha yanayoendelea bungeni,inawezekana wengi hamko karibu na tv au chombo kingine cha habari!Ilikuwa ni jukumu la GHORST RIDER sijui MODS wamempiga...
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema...
na Abdallah Khamis
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, kutoa ufafanuzi wa zaidi ya sh bilioni 220...
Kwa nini serikali inatufanya sisi kama watoto? Yaani inamaana katiba mpya kuzinduliwa bila maoni ya wengi? Lazima ikumbukwe luwa katiba mbovu uchumi mbovu, katiba nzuri uchumi mzuri. Sasa hawa...
Sunday, 26 June 2011
ASEMA anawakejeli Watanzania, ni sehemu ya matatizo
Hussein Issa na Fidelis Butahe
KATIBU Mkuu wa Chedema Dk Wlibroad Slaa ameunga mkono kauli ya Mbunge wa Monduli,Edward...
Nimejaribu kupitia magazeti leo jumapili sioni hata moja lililocover story ya serengeti ikiwa serikali imenawa mikono kutokana na shinikizo la marekani...embu ona serikali ilijifanya kichwa...
The Sh2 trillion tax hole
Sunday, 26 June 2011 09:06
By Costantine Sebastian, Weekend Editor
THE CITIZEN
Experts have warned that the new tax waivers announced by the Treasury will...
Mheshimiwa Rais: Hatujakusikia kwa muda sasa kutoa hotuba ya mwisho wa mwezi! na bila shaka wasaidizi wako wanaanda hotuba sasa kwajili ya June 2011 naomba uzingatie yafuatayo
1. Suala zima la...
Sikushangaa kusikia tarifa kuwa wabunge wa CCM walimshangilia Edward Lowassa wakati akichangia hoja bungeni. Sikushangaa ndiyo kwa sababu Lowassa, Kikwete, Rostam na wenzao ni watu wa Rushwa. Pia...
Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced.
Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape...
Written by makame silima // 26/06/2011 // Habari // No comments
Muungano upo lakini Tanganyika imeshakufa kwa jina la Tanzania.
[caption id="attachment_31252" align="aligncenter" width="405"...
kutokana na mahojiano yake na gazeti la raia mwema la wiki 3
zilizopita alisema yy ni mjamaa kimsimamo,sasa cdm ni chama cha kibepari chenye ushirika na chama cha kikatoliki cha ujerumani,watu...
Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana...
Na Alfred Lucas - Imechapwa 15 June 2011
Atinga kwa Nabii Joshua kuombewa
Waziri Membe ateta na Rostam Aziz
EDWARD Lowassa, mwanasiasa anayetajwa "kujipanga kugombea urais mwaka 2015,"...