Wananchi wavunja barabara ya segese - kakola wakidai umeme maji na barabara ya lami

MGAWARIZIKI

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
305
47
Wananchi wa kijiji cha segese wilayani Kahama wamechimba barabara iendayo Kakola ili kuzuia mawasiliano ya barabara wakimtaka mbunge wao atekeleze ahadi alizowaahidi kwenye kampeni zake za uchaguzi wa mwaka 2005 na 2011, wamedai mbunge wao amekuwa akiwaahidi umeme na maji kwa awamu zote mbili za uchaguzi bila mafanikio yoyote. Hii nafikiri inaweza kuwa changamoto kwa viongozi wengine wanaodanganya wananchi na kutoa ahadi za uongo.Wana JF mnalionaje hilo?
 
hivi segese iko ktk jimbo la Lembeli au Maige? naomba nijue hili afu tuendelee
 
Kuna tetesi kuwa anamiliki mgodi pamoja na Ridhi1 Kikwete

Kila kitu ni tetesi. Lini tutajua kwamba tuna wajibu wa kuja na ushahidi kabla ya kuongea. Ina uhusiano na maamuzi wa wananchi kuchimba barabara?
 
Back
Top Bottom