Nape: Dawa ya Lowassa, Rostam na Chenge tayari imeshachemka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape: Dawa ya Lowassa, Rostam na Chenge tayari imeshachemka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sulphadoxine, Jun 27, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala
  Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba
  Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema
  Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini
  Awajulisha kuwa ccm ndio mwajiri wao
  Lengo ni kuinusuru kisiasa isianguke uchaguzi 2015
   
 2. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo pekundu ndio muhimu kwa CCM kufa na kupona kwa mbinu yoyote ili ata ikibidi mtu kufa!.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nitaifananisha siku hii na siku ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.
   
 4. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii habari nimeipenda ila napenda kujua Nape aliyasema lini haya?
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  jamani tupeni source!!!
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Blahh blahh za Nape hizo hakuna kitu kama hicho yeye asubiri mkutano wa nec ndio atajua magamba kina wenyewe
   
 7. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nape angeandika hivi yeye wallah ningempa support maana ningekuwa nimeuona tena uhuru dhidi ya watawala baada ya uhuru ule wa mkoloni wa mwaka 1961 tupeni link maana hata wewe mtoa mada sina imani na wewe sana......
   
 8. F

  Froida JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  MMh tutaona kama kweli kuondoka kwa hao watatu kutawasaidia
   
 9. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yetu macho na masikio.
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,201
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kwa ninavyojua mpaka sasa ni kuwa lowasa hafukuzwi........l
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yatatimia tu!
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Source please!
   
 13. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  kati ya hao watatu haondoki mtu. Na wakiondoka magamba wanakufa kifo cha mende (CHALI). Beti kama nasema uongo.
   
 14. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  lowasa akitimuliwa CCm ataingia chama kipi kati ya hivi1.
  1.CDM(CDU)-Mbowe
  2.DP- chama cha mtikila
  3.CCK -cha samwel sitta

  Hizi siasa za bongo kwa jinsi zinavyokwenda sioni kama zitatuletea nafuu yoyote ya maisha,kwani ubinafsi umetawala vichwa vyetu.
   
 15. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wandugu source ya habari hii ni gazeti la sema usikike la tarehe 27 juni hadi 3 julai/2011
  Nape alitoa maneno hayo pindi alipotembela vyombo vya habari vya IPP wiki iliyo pita.
  Aliwaambia waandishi wa habari a IPP kuwa "hapa kuna mambo mawili wajiondoe wenyewe ama vinginevyo watafukuzwa,lakini dalili zinaonyesha kwamba hawapo tayari kujiondoa na kama ni hivyo basi wao ni kama wameshafukuzwa,bali kinachosubiriwa ni taratibu"
   
 16. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Source sema usikike la leo tarehe 27/06/2011
   
 17. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  watanzania wamezoea kudanganywa na kudanganyika.I doubt kama kuna atakayefukuzwa na hapatakuwa na lolote la ajabu toka kwa wananchi na ccm utashangaa kuna watu bado watakuwa na imani nayo 2015.
  Makamba senior alishasema kuwa watanzania ni wepesi wa kusahau na ya kuwa wataendelea kuipigia kura ccm hali ya kuwa imewasababishia maisha magumu huku ikihubiri maisha bora kwa kila mtanzania.
  mapambio ya akina Komba na TOT yake yanatosha kuwasahaulisha watz walio wengi na kuwafanya waipigie ccm kura....
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tafadhali ukionana na Bwana Nape mwambie kuwa mimi nimeshachoshwa na porojo hizi. Atafute jingine la kulizungumza
   
 19. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Picha hili tamu! Sijui litaisha lini tupumzike
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Aliwahimiza EL juzi kuchukua maamuzi mazito. Akina Nape bado wanasitasita. Mtu kama EL alipaswa kuwa jela siku nyingi. Sita akambakiza. Sasa anatamba kwelikweli.
   
Loading...