JK akijiuzulu tumshitaki kwa makosa yepi?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Wengi hawaridhishwi na utendaji wake pamoja na ule wa baraza lake la mawaziri.
Ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi.
Je akijiuzulu tumshitaki kwa makosa gani aliyoyavunjia sheria?
 
a)Kuasisi udini nchini
b)kushindwa kusimamia rasilimali za nchi!
b)Kutumia mali za umma vibaya kwa kujinufaisha yeye na familia yake!!
 
Kuna wanaume watatu wana pesa nyingi sana
Wananchi wa nchi hii wamepigika kupindukia, kana kwamba hawako ndani ya nchi yao
Mfumuko wa bei umepanda kwa asilimia zaidi ya mia tatu
Yote haya yame sababishwa na utawala mbovu wa nchi hii, mojawapo ni safari za rais zisizoisha utadhani Vasco da gama.
pesa za wananchi zimetumika vibaya, kana kwamba hakuna usimamizi kwenye taasisi za serikali.

Yote haya yametokea chini ya utawala wa JK. ana kesi za kujibu
 
sasa yamo kwenye orodha ya makosa kisheria?
Mi nataka nimpeleke mahakamani huyu aliyespoil maisha ya mamilioni ya watanzania
 
Halafu mnamsema Malaria Sugu kumbe wenye malaria ya aina yake wako wengi. Tofauti ni kwamba hawa wanausemea upande wa pili.
 
kosa la kuzurura bila mpango na kutumia ikulu kwa manufaa ya familia yake
 
Back
Top Bottom