slaa aongea na manavyuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

slaa aongea na manavyuo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpenda CHADEMA, Jun 25, 2011.

 1. m

  mpenda CHADEMA New Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatimaye Dr slaa aongea na wanavyuo hasa DUCE.alzungunzia hasa taifa atakulokuja kuliongza lnaitaji crititical thinker wnackilza k2 na kukifanyia utifiti na co kupelekwa kma chuo kikuu cha udom.Pia DR slaa amesema wazir Ngeleja ajiuzur kw wazara kushndwa kukomasha mgao ambao unafanya nch kuwa uchmi mbovu na kusabsa wnanch kupata hasara.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sasa hata Dr (Phd) akipumua tutaambiwa. Kazi ya siasa ni kuongea na kukutana na watu sasa humu mbona kunageuka kama news letter ya Chadema tena ambayo haichagui habari za kutuambia. These trivialities must not be given a chance to last.
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  should not be given chance to you and fellow country haters. We need corruption free generation. Whoever buids that we shall acknowlege. Congrats dr Slaa. If nominated by cdm 2015 count my vote dr slaa.
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona mkwele akibembea Jamaica tunaonyeshwa na picha?
   
 5. f

  fazili JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  we ni moja ya watu wasiotakia mema nchii hii na tuna watu kadhaa kama wewe ndio maana nchii hii inakuwa ngumu kuendelea
   
 6. W

  We can JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukitaka uzomewe, mseme Dr. Slaa vibaya! Usimtazame Dr. Slaa kama mwana CHADEMA bali kama Mtanzania anayeipenda nchi yake kwa dhati! Pole!
   
 7. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ulitaka tumuweke nani? mjomba wako au? kila mtu ana haki huku we vp?
   
 8. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr slaa mioyoni mwetu,kikwete mabangoni.nchi haina rais.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Dogo, Sema a loser Dk Slaa, moyoni kwangu si mioyoni mwetu! Unaleta maneno ya Kitchen Party hapa
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  I like your comment man!! Kuna mtu aliwahi kusema hakuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania. Akaenda mbali zaidi na kusema hata akiwekwa ng'ombe kuongoza, nchi itakwenda tu. Maana atakuwa akipiga kelele "moooooo" walinzi wake wanatafsiri kwa kadri wanavyojua wao na kutoa maagizo ya utekelezaji. Kikwete ni kama kivuli tu pale ikulu, ni sawa na tusingekuwa na rais tu, maana uwepo wake ni mzigo kwa taifa. Anatuongezea gharama za magari ya misafara yake na nauli za kulipia ndege anapokwenda nje ya nchi.
   
 11. I

  ICHONDI JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Majitu mengine bana! The fact kuwa yamepewa nafasi kuandika basi yanaandika utumbo tu. JF ni jukwaa lahabari na siasa na mambo mengi tu. Kama hupendi politics ingia kwenye issues zingine, nafasi za kazi, tenda etc. Ukibofya habari za siasa this is what you will get. Sasa huna haja ya kulalamika.
   
 12. Jean chill

  Jean chill Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Go to HELL
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  go slaa go my heart president....
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu ndo muarobaini wa matatizo ya watanzania. Mkwer badala ya kuwasaidia wa-tz yeye ni kuchekacheka na kusafiri nje
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  wewe nungayembe hujawahi fanyiwa kitchen paty, maneno ya k/paty umeyajuaje? kapige mswaki urudi jamvini.
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ameshajitundika mwenyewe, Duhh bomu kweli huyu aliyeanzisha hii thread. Dk Slaa ni mtanzania ati.
   
 17. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya maoni yaheshimiwa kwa kuwa kila mtanzania ana uhuru wa kutoa mawazo yake soma katiba
   
Loading...