Mipasho ya wabunge ni kuishiwa hoja au mbinu ya kisiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mipasho ya wabunge ni kuishiwa hoja au mbinu ya kisiasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chigwiyemisi, Jun 22, 2011.

 1. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habarini Great thinkers!
  Naomba mnipokee jamvini!
  Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mwenendo wa bunge letu! Nashangazwa sana na tabia ya wabunge wetu inayozidi kujengeka ya mipasho na vijembe! Wabunge badala ya kujadili masuala yenye maslahi kwa taifa wao wamekuwa wakitumia muda mwingi kutupiana vijembe na lugha za dharau. Majuzi nilikuta mjadala usio rasmi mtaani na mchangiaji mmoja akawaeleza wenzake kuwa bunge la 2015 miongoni mwa wabunge wa CCM atakuwa ni mwimbaji wa taarabu Mzee Yusuph ili kukamilisha timu yao ya mipasho! Akaenda mbele zaidi kuwa hata kiranja mkuu wamemfundisha mipasho (akirejea kauli yake kuwa baadhi ya wabunge wa CDM 'wanamezea mate posho'). Naomba mnijuze je mipasho na vijembe vya wabunge wa CCM ni kuishiwa kwa hoja au ni mbinu za kisiasa kuwanyong'onyeza wapinzani wao?
   
 2. SAUTI YA ZEGE

  SAUTI YA ZEGE Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Bunge la sasa linakera tena sana na halina ladha kuangalia wala kusikiliza,wabunge wengi wengi wa CCM wamekuwa ni mipasho tu kuliko kuchangia hoja.Wanashindwa kuelewa nini upinzani na mpinzani ni nani,kinachoniudhi ni pale anaposimama mbunge kabla ya yote na kusema kuwa anaunga bajeti kwa 100/=na ilhali akitoa kasoro nyingi huku akitaka marekebisho kadha wa kadha.Nimeshindwa kusikiliza hasa pale anapokuwa akiongea mbunge wa CCM,kwani hawana jipya zaidi ya mipasho.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,551
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  C C M =Chama Cha Mipasho
   
 4. P

  Popapo Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muongozo wa spika. Kanuni ya 71(1)
  Nakunga Mkono uliyeanzisha hi hoja.
   
 5. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mipasho inategemea ni aina gani. Kama Tundu lisu, anatoa data kisha anakupasha kuwa umefulia. Hoja zake nyingi hazijibiki kwa wa CCM ndiyo maana wao wanaanzisha mipasho ya taarabu kukwepa hoja. Hebu sema mwenyewe kama ulifuatilia bunge jana jioni, mipasho ya Lissu, Mnyika si ndiyo tunahitaji kwa sasa?
   
 6. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa MH,
  Hakika si bunge la wenye udadisi wa kina na wapigania haki za Mtanzania, imefikia inatia aibu kutazama bunge letu. Dira imepotea
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kulalamika bila kuchukua hatua hakuna zao kwan hayo ni lazima yatokee il tuamke toka gizan kufanya lifaalo,tuongeze bidii kulikomboa taifa kwa waharifu pia tuhamasishe vijana wajiandike na kupiga kura zaid ya hayo n maumivu tu.VIVA CHADEMA ALUTA CONTINUA.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,480
  Trophy Points: 280
  Karibu, ila umekuja na speed kali najua una hasira sana kweli bunge limekosa mwelekeo wake.
   
 9. J

  JF mteule Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia hili bunge letu na nimeona kwa jinsi gani watanzani wenzetu tuliowapa nafasi ya kutuwakilisha mle mjengoni wanavyojiwakilisha wenyewe badala yetu, maslahi ya uma yamewekwa kando bali maslahi ya chama, hata wapo tayari kufa wakitetea posho isiondolewe kuliko kutetea mafuta ya taa kodi isipandishwe, hivi wanakumbuka walikotoka? ni wenzetu hawa au ni makaburu? tunakwenda wapi kama taifa? kuna amani gani kama hatuna imani tena na hawa waheshimiwa hewa? watanzania tufanye nini sasa maana njaa imezidi na hatujui kesho yetu itakuwaje.
  Mungu ibariki Afrika!
   
 10. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Huyu ni wa ccm-jimbo la longido, anafananisha bunge kama kilabu cha walevi, amesifia bunge la sita. Amesema bunge la sasa ni kushutumian wenyewe kwa wenyewe.
   
 11. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mambo hayo! Mwaka huu kuna kazi!
   
 12. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du goin maana hapa hamna umeme wakubwa
   
 13. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aihame ccm
   
 14. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du go in maana hapa hamna umeme wakubwa
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Watanzania nawakubali sana! Kukosekana kwa umeme limeshakuwa jambo la kawaida kwenye maisha yao!! Wanachekelea kabisa!!!
   
 16. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  huo ni mtazamo wake lkn kwetu wasikilizaji tunapata burudani tosha kwenye bunge hili.
  nilimshangaa hata makinda aliposema eti kuna mtu kamtumia msg anasema hawezi tena kuangalia bunge la sasa kutokana na vurugu zake.wakati kiukweli sasa hivi kila mtu anafuatilia bunge kwa kuwa limechangamka sana.
  hatuhitaji walokole bungeni.
   
 17. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu bunge la sita?!
   
 18. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red. Bunge lililokuwa likiongozwa na Spika Sita au bunge la kikao cha sita?
  Kama 's' ni herufi dongo, bila shaka siyo jina hilo lakini kama ni herufi kubwa basi litakuwa jina.
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Toa Boriti ndani ya jicho lako kwanza.
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nimemuangalia hajui kujenga hoja kama walivyo wabunge wengi wa CCM.............ni walewale............CCM ni ma-bogus kweli.....
   
Loading...