Bmw za kikwete hukimbia tu hata zikipata pancha

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wakuu hivi zile gari aina ya BMW kwenye msafara wa kikwete huwa ni kwa ajili ya walinzi wake? si ingefaa awe anapanda angalau kwenye moja ya hizo ili kama kuna adui asijue yumo kwenye gari gani? sasa jana pale ubalozi wa Zambia yeye amepanda benz halaf BMW kama sita hivi zina watu wamevaa kaunda suti..... nasikia zile gari ni za ajabu sana...zina shock absorbers ambazo hufanya research metre mia moja kujua kama barabara ina potholes ili ziweze ku cushion off...halaf ile tinted yake ni maalum kama mtu ana kitu kibaya ndani ya kipenyo cha metre 100 zinaonyesha......
kule marekani huwezi jua obama amepanda kwenye limousine gani maana zote ni identical.... hakika kiongozi wetu ana msafara maridadi HONGERA Mzee KIKWETE​
 
Ulikuwa unasemaje?
 
Great thinker.... habari na heading tofauti kabisa....hebu rudia tena sijaelewa ulikuwa unaongelea pancha ama aina ya magari
 
Wakuu hivi zile gari aina ya BMW kwenye msafara wa kikwete huwa ni kwa ajili ya walinzi wake? si ingefaa awe anapanda angalau kwenye moja ya hizo ili kama kuna adui asijue yumo kwenye gari gani? sasa jana pale ubalozi wa Zambia yeye amepanda benz halaf BMW kama sita hivi zina watu wamevaa kaunda suti..... nasikia zile gari ni za ajabu sana...zina shock absorbers ambazo hufanya research metre mia moja kujua kama barabara ina potholes ili ziweze ku cushion off...halaf ile tinted yake ni maalum kama mtu ana kitu kibaya ndani ya kipenyo cha metre 100 zinaonyesha......
kule marekani huwezi jua obama amepanda kwenye limousine gani maana zote ni identical.... hakika kiongozi wetu ana msafara maridadi HONGERA Mzee KIKWETE​

Slaa akizionaga zile gari roho inamuuma sana na wana MAGWANDA wote. Kuna wakati nilimshuhudia wana Magwanda wao wenyewe wanasema JK ametufanya kitu kibaya sana , ametushinda kwa kishindo tena
 
Kila nafsi itaonja umauti.....malaika mtoa roho anapenya kwenye vioo hivyohivyo ambavyo vina mbwe,bwe zote,so jana ulienda kuushangaa msafara??????
 
Wakuu hivi zile gari aina ya BMW kwenye msafara wa kikwete huwa ni kwa ajili ya walinzi wake? si ingefaa awe anapanda angalau kwenye moja ya hizo ili kama kuna adui asijue yumo kwenye gari gani? sasa jana pale ubalozi wa Zambia yeye amepanda benz halaf BMW kama sita hivi zina watu wamevaa kaunda suti..... nasikia zile gari ni za ajabu sana...zina shock absorbers ambazo hufanya research metre mia moja kujua kama barabara ina potholes ili ziweze ku cushion off...halaf ile tinted yake ni maalum kama mtu ana kitu kibaya ndani ya kipenyo cha metre 100 zinaonyesha......
kule marekani huwezi jua obama amepanda kwenye limousine gani maana zote ni identical.... hakika kiongozi wetu ana msafara maridadi HONGERA Mzee KIKWETE​

Je hii nayo ni indicator mojawapo ya kukuwa kwa uchumi na kupungua kwa umasikini Tanzania chini ya serikali ya CCM ambayo inaongozwa na kiongozi mairi Dr. Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete?
 
Uswahili mtupu. Wakati tunalalamika maisha yetu kuwa hatarini sababu ya Kikwete na mob yake, huyu anaongelea uzuri wa msafara wa Raisi. This is stupidity at its highest level. Nasikia kutapika .
 
Wakuu hivi zile gari aina ya BMW kwenye msafara wa kikwete huwa ni kwa ajili ya walinzi wake? si ingefaa awe anapanda angalau kwenye moja ya hizo ili kama kuna adui asijue yumo kwenye gari gani? sasa jana pale ubalozi wa Zambia yeye amepanda benz halaf BMW kama sita hivi zina watu wamevaa kaunda suti..... nasikia zile gari ni za ajabu sana...zina shock absorbers ambazo hufanya research metre mia moja kujua kama barabara ina potholes ili ziweze ku cushion off...halaf ile tinted yake ni maalum kama mtu ana kitu kibaya ndani ya kipenyo cha metre 100 zinaonyesha......
kule marekani huwezi jua obama amepanda kwenye limousine gani maana zote ni identical.... hakika kiongozi wetu ana msafara maridadi HONGERA Mzee KIKWETE​

ndo tatizo la kushiba vipora na kukaa kwa shemeji ..yaani akili inawaza utumbo tupu
 
Slaa akizionaga zile gari roho inamuuma sana na wana MAGWANDA wote. Kuna wakati nilimshuhudia wana Magwanda wao wenyewe wanasema JK ametufanya kitu kibaya sana , ametushinda kwa kishindo tena

wamezoea kupanda hayo magari toka utotoni sio Jk kayakuta ikulu...
 
Khaaaaaa.................. Hata gari la Obama, halina hii kitu ya kunusa mabonde mbele. Ndiyo maana lilikwama alipokuwa Ireland juzijuzi na likalalia tumbo. Hizi stori za mitaani jamani ambizaneni hukohuko kwenye vijiwe vyenu.

images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom