Dar to build railway line in Mineral-Rich South | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar to build railway line in Mineral-Rich South

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 26, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  By JOHN MBALAMWEZI Posted Sunday, June 26 2011 at 09:30  Tanzania plans to construct a Tsh2.3 trillion ($1.5 billion) railway line to open up its mineral rich southern region and boost the country's coal and iron revenues.

  Related Stories

  The 850-kilometres long railway line whose construction is set to begin next year, will link coal and iron ore projects in Mchuchuma and Liganga respectively to the Mtwara Port.


  Athumani Mfutakamba, Deputy Minister for Transport, told The EastAfrican in Dodoma last week that negotiations between the National Development Corporation and Sichuan Hongda Corporation of China over the necessary infrastructure were at an advanced stage.


  The Mchuchuma iron ore and Liganga coal reserves in the southern highlands have the potential to create an estimated 40,000 jobs, spur iron and steel industries in the country and boost coal exports.


  The project will be the second largest single operation since the 1970s when China built the $500 million 1860-kilometre long Tanzania-Zambia railway line from Dar es Salaam to Kapiri Mposhi.


  Deputy Minister for Trade, Industries and Marketing Lazaro Nyalandu, said investors in the Liganga and Mchuchuma iron ore project had set aside Tsh10 trillion ($6.25 billion) for project implementation.


  Mr Nyalandu said the project is expected to contribute between 20 and 25 per cent of the country's GDP.


  Coal deposits at Mchuchuma which is near the border with Malawi and Mozambique are estimated at 125.3 million tonnes, while iron ore deposits in the Liganga area are estimated to be 45 million tonnes.


  These are to be exploited jointly to stimulate an iron and steel industry in a country that depends largely on the agricultural sector.

  Minister for Transport Omari Nundu, said the railway line will boost trade with neighbouring Mozambique, Malawi and Zambia.

  "The railway line will also attract passenger traffic because of the huge potential in mineral and agricultural activities in the region," he said.


  Minister for Finance Mustafa Mkulo, said the government plans to spend $34 million in the 2011/2012 financial year on conducting feasibility studies and detailed design of the Mtwara–Songea –Liganga railway line.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Well Wajenzi wasiwe Wachina, Watawaleta watu wa kwao kuliko kuwapatia kazi za Ujenzi wazalendo; Angalia Angola hadi kuweka kifusi ni Mchina
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hao jamaa ni noma ni wakabila kweli kweli na kisingizio chao kikubwa ni kujifanya hawajui lugha yoyote kasoro kichina mimi nimefanya kazi sehemu moja nawaheshimu kwa ukabila na roho mbaya ya upendeleo

  Ila kama hii protect itakamilia ndani ya utawala wa mkwereee atakuwa amepata goli ya kujifutia macho kwa mujibu wa watangaza mpira
  maana kulikuwa na dalili za kutoka nunge kwa miaka kumi
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  OK Kwa Mkwereee let's wait and see...
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Still i dont belive this, ametoa ahadi nyingi mno mpaka nyingine amezisahau, kama ile project ya Kigamboni sijui imeishia wapi? Maisha bora kwa watanzania ndio kwanza wameongezewa umaskini na kuwa maisha bora kwa wageni.
  Hizo fund zitatoka wapi kwanza ikiwa wanakopa kulipana mishahara. Huu ni Uongo
   
 6. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sioni muujiza wa mradi huu kukamilika ndani ya kipindi cha urais wa Kikwete. Waziri anazungumzia mwaka huu wametenga USD 34m kwa ajili ya upembuzi yakinifu. Hii peke yake ni kazi ya mwaka mmoja na nusu au miwili. Bado kuna environmental impact assessment ambayo nayo ni kazi ya miezi sita hadi mwaka mmoja. Baada ya hapo ndio tender ziitishwe, hili nalo ni zoezi litachukua kama miezi sita hivi. Kwa hiyo utaona kwamba kama ni ujenzii wakiwahi sana itakuwa mwaka wa fedha 2014/2015 mwaka wa uchaguzi. Vinginevyo, ninaona hii ni project itakayoanza baada ya 2015.
   
 7. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Sichuan Hongda Corporation of China
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sichuan Hongda Corporation ni Wamiliki walioshinda Tenda za kumiliki hayo Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe Sio wajenzi wa Reli
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kama mmiliki wa hiyo project ya chuma na makaa ni mchina, I think you know the answer juu ya nani atajenga hiyo reli. Mchina huyo huyo ndie atajenga reli mpaka wabeba zege watatoka China.
   
 10. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,441
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Mambo ya Tazara yanarudi kila watakachopata njiani wanachukuwa kueni macho.
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama wajenzi siyo wachina then nani ajenge? Mimi nafikiri lililo la msingi ni kuhakikisha kwamba kazi ambazo siyo za kitaalamu sana waachiwe wazawa, kama ilivyokuwa kwa TAZARA kuliko kudhani kwamba tunaweza kuwaambia wachina watoe fedha lakini wasijenge wao.
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tahadhari hizi zilizopitiliza ni kikwazo kwa mradi.
   
 13. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,053
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Mara kwa mara serikali hizi za madikteta msonge hupenyeza vijihabari vya matumaini ili kuzidi kuwalaza watu. Acha waanze kujenga tuone ndio utangaze habari. Kama alivyosema mwenzangu hapo nyuma, ahadi nyingi zilitolewa. Nakumbuka wakati akitangaza kugombea urais kwa mara ya kwanza aliwahi kusema atatengeneza kazi kwa watu milioni mbili katika kipindi cha miaka mitano! Baadaye kisirisiri wakaiondoa kauli mbiyu yake hiyo- kwani ilionesha si tu uongo bali ujinga wa aliyeisema.
  Daraja la Kigamboni, na mji wa kisasa, maisha bora kwa KIIIIIIIIIIIIIIIIIILLLLLLLLLLLLLLA Mtanzania (kweli yawezekana hii?), zote hizo ni ahadi hewa. Habari hii kamwe isingewekwa. Ni propaganda tu. Reli hiyo itagharimu 2 trillion, wakati hivi sasa serikali haijui 2 trillion itazitoa wapi kulipia recurrent expenditure!
   
 14. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kukamilika ndio tatizo hapo.
   
 15. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I look @ it positively..hii ifuatiliwe
   
 16. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180

  ===================================
  Coal deposits at Mchuchuma which is near the border with Malawi and Mozambique are estimated at 125.3 million tonnes, while iron ore deposits in the Liganga area are estimated to be 45 million tonnes.
  ==========================

  Hizo namba ndizo zinasema uongo kabisa, kwanza kabisa.
  VALE (the biggest supplier of Iron Ore in the world) anazalisha 100 million tons kwa mwaka
  Rio Tinto karibu 70 million
  Anglo American (Kumba of South Africa) 20 million
  Wahindi 200 million kwa mwaka
  Tanzania tuna reserve za Iron Ore 125.3 million na coal 40 million (Note they are reserves). China inahitaji kutoka nje 1 billion tons of iron ore, zetu hata kwa mwaka hazitoshi. Labda serikali yetu wajinga wanaingizwa mjini, au hawa wachina kuna kitu wamekiona zaidi ya hicho.

  Hizo 125.5 million za Iron Ore ni reserve au?? Please; then you invest a railway at 1.5 billion Dollars.

  Swerikali mtwambie wazi je hilo ni deni au ni investment, investor hawezi kuinvest pesa zote hizo; kwa mapato madogo labda mmeshaingia mkataba mwingine zaidi ya huo. The numbers do not add.

  Guienea, Peru, Liberia, Sierra Leone have proven reserves of billions of tons na hawahitaji ku-invest pesa yote hiyo.

  Australia, South Africa kuna milima imejaa hizi Iron ore, FOSKOR na PMC peke yao wana zaidi ya 200millions of dumps, zinahitaji railway tu na slots kwenye bandari, hawana haja ya kuchimba, na hizo damps ni nyingi mno!!

  HMMMMMMMMMM!!
   
 17. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa yako liganga na Mchuchuma ni zaidi ya Iron ore and Coal. Kuna madini mengine adimu (rare metals) yanayotumika katika utengenezajiwa vifaa vya elektroniki. Na hili linajulikana maana ripoti yote ya uchunguzi ipo NDC.
   
 18. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Bwana Ngereja,
  Kama wewew ni yule msimamizzi wa hii wizara yetu ya hizi raslimali muhimu; na kama hizi rare metals ores zipo; nini zisiandikwe? Huu ndiyo tunasema wizi, je unajua kuwa China ina control all 90% of rare metals in the world? Au tu mumweingizwa mjini na hiyo reli. Rare metals zinatakiwa sana Japani, West Europe na North America kwa high tech; pamoja na kurusha satelite etc Chinese sasa hivi wanatumia hizo rare metals politically kuwabana westerners, na Japanese kukubali matakwa yao? Marekani kwa bahati nzuri wanauwezo waku-revamp production baada ya mchina kuleta huo ubanaji. Lakini Japan na Europe bado kuna ugumu na sasa wanataka kuwapeleka China WTO; lakini Japan anahaha kutaafuta source mbadala yaa hizi metals kwa sababu yeye na mchina hawawezi kuiva hata siku moja. Kwa nini msitangaze hizo rare metals kwa wote? Wajapan waje, Europe waje nk?

  Halafu kama ni kweli investor ni Sichuan Hongda, hii ni kampuni ambayo haimo kabisa kwenye Iron Ore na Coal, wamepataje hiyo Nchuchuma? Wawe ni kampuni ya Non ferrous metals, halafu ni kampuni ambayo non State, ya binafsi. Na hizo pesa ambazo wata-Invest zitatoka wapi? Au ndiyo nao ni madalali tutaona investor wa Chuma, Coal, non ferrous, na hizo rare metals; au in otherworlds hiyo Nchuchuma ishauzwa kwa Wachina na itakuwa China zone?

  This area should not be restricted to only one company; a consortium of companies or groups on individual basis have to be be given opportunity; or form an Economic zone. Halafu kitu kingine, hizo rare metals zitakuwa refined wapi??

  Everything has to be open!!
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  The World Bank and the United Nations did surveys for a Tazara-like line in the early 1960s, and both concluded that such a railway would be neither economically feasible nor sustainable. But China built the line, between 1970 and 1975, at the behest of two African leaders: Julius Kambarage Nyerere, the first president of Tanzania, who wanted to open up the remote south of his country and bolster his pan-African credentials; and President Kenneth Kaunda of Zambia, whose landlocked country was seeking an alternative to the trade routes south through white-ruled Rhodesia.

  Within a decade, the line was suffering from repeated breakdowns, landslides, and management failures. Planners had envisioned running 17 trains a day, but by 1978 there were only two. Tanzanians and Zambians tend to lay the railway's chronic operational problems at the doorstep of official corruption. Isaac and Daniel joked about this throughout the trip. For them, revenue-skimming explained every woe, from an unscheduled stop on our first night to replace a part, to an electrical short that plunged our stifling cabin into darkness after Daniel tried to turn on the cabin's antiquated fan.


  Source: World Bank Report 2010
   
 20. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mimi siyo msimamizi wa hiyo wizara na wala sina uhusiano naye wa aina yoyote, kwanza hata majina yetu ni tofauti kabisa, yeye anaitwa "Ngeleja" na Mimi ni "Ngereja" japokuwa katika kuyatamka yanaonekana ni jina moja.

  Nikirudi kwenye mada, "rare metals" zilizopo Liganga na Mchuchuma zinafahamika na wala siyo siri, ninakumbuka NDC waliwahi kuchapisha moja ya rpoti zao kwenye magazeti kuelezea aina mbalimbali za madini adimu zinazoambatana na iron ore. Taarifa zote kuhusiana na hii miradi zinapatikana NDC, na sidhani kwamba ni siri, nadhani pia ukitafuta kwenye google utaweza kupata baadhi ya taarifa zihusianazo na rare metals huko liganga na Mchuchuma.
   
Loading...