Speaker Makinda na Mh. Pinda (Waziri Mkuu) kuna nini hapoooooo?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
huyu spika amezidi kumbeba waziri mkuu pinda sana! Imefikia hatua anazuia maswali yanayoelekezwa kwa pinda. wiki ya pili sasa hakuna kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa sababu zisizoeleweka. Kwana nini hapooo?
 
Bunge tukufu lililobeba watu wadhaifu,kitu kisichowezekana.....nadhani ni bora hata hilo jina waache kulitumia....
 
hoja ya mh. Mnyika juzi kumtaka waziri mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo ilikrashiwa huku akiwa kakunja sura kweli kweli.. Simwelewi huyu mama! Hv ni kwa nin anambeba sana waziri mkuu?
 
Spika wa bungu mama Anne Makinda na waziri mkuu ndugu Mizengo Pinda wanatakiwa wajiuzulu nyadhifa zao kwa ajili ya maslahi ya taifa kwani hakuna cha maana walichowafanyia watanzania toka wameteuliwa kwenye nyadhifa zao.
 
Wakwanza kujiuzuru awe waziri mkuu, huyu amekuwa akitetea maovu... Makinda watammudu bungeni!
 
Back
Top Bottom