Decision making data and information | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Decision making data and information

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Jul 2, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nimewahi kundika kuwa katika semina elekezi moja ya jambo la msingi vingozi wetu( Mawaziri, makatibu wakuu, Wakurgenzi wa Idara, RC, DC, RPC, CEO) na hata wakuu mwashiika makubwa wanataiwa kupigwa msasa ni KUFANYA MAAMUZI

  Popote kuliko na kashafa au tatizo maana yake kuna maamuzi yalliyofanyika yasiyo sahihi. Inawezeaa mamuzi yasiyo sahihi yenafanyika kwa mkusudi au kwa bahati mbaya.

  Lakini bahati mbaya nayo sio sababu kwa dunia ya sasa ambayo kwa kutumia Teknolojia ya Habarina mawasiliano mtendaji yeyote anatakiwa kufanya maamuzi sahihi. Dunia sasa ni kama kijiji. Maaana yake ni kuwa wanaofanya maaamuzi wanatkiwa kuwa nauweo wa kupata TAARIFA yeyote sahihi wakati wowote mahali popote kwa muda mfupi .

  Nitatolea mfano wa kuonyesha maamuzi mambovu amabyo yanawafanya viongzi wetu na watedaji kuonekana kituko

  Richmond- Kampuni hii haina hata ofisi ni kampuni ilikuwa yamfkni lakini iliweza kuingia mkataba na serikali. Kuanzia Ofisi ya waziri mkuu, Kituo cha uwekezaji na hata Tanesco ofisi za watedaji wote na wasaidi wao zina internet. Kwan nini taarifa hizi hazikushtukiwa mapema na hivyo kulipeusha taifa na. kashfa. Interne iliyopo pale kituo cha uwekezaji inatumika kufanya nini?

  Radar- Bei halisi ya radar ilitakiwa kujulikana na wahusika sahihi. Kwa nini hakuna aliyegundua kuwa kuna tofauti kubwa ya bei halisi na bei ya Dalali. Je ofisi zetu za ubalozi zinasadiaje taifa ?

  Si lengo la makala hii kuzungumzia kashfa lakini ni katika kuonyesha hata siku moja huwezi kufanya maauzi sahihi kwa kutumia taarifa za uwongo au taarifa isiyo kamili

  Hata ukiwa na Phd ya elimu ukawa na sifa za uchapa kazi na maadili au unapendwa na wananchi Huwezi ufanya maamuzi sahihi bila kutumia information sahihi.

  So ni muhimu viongozi wetu , watendji wetu watambue na ku scrutnise njia wanazotumia kupata TAARIFA ( Information). Je wahusika wanayajua haya.?

  Kwa wale wenye uelewa kidogo wa mambo ya ICT watakubaliana nami kuna mambo kama

  I. sifa za taarifa-

  • Timeliness- Kujua richmond ni kampuni feki wakati umeshaingia nayo mkataba si taarifa bali ni data ,
  • completeness,- taarifa inatakiwa kuwa na mamo yeote yatayomsaidi decion maker ufanya maamuzi sahihi
  • Auditable - uthibitishwwaji na uhakiki wa Chanzo au mtoaji wa taarifa
  Unaweza kutazama sifa nyingine za taarifa

  II. Data Vs information.
  Kuna tofauti kati ya data na infrmation sasa sijui kama watendaji wetu kabla ya kufanya maamuzi wanakuwa wana uhakika kabla ya ufanya maamuzi wamepata information na si data.

  Nawasilisha semina elekezi trough JF

  criticise comment add or disgaree
  ?
   
Loading...