"Bila safari zangu za nje mngekufa njaa..." - JK

Good Guy

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
3,809
1,406
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba anawashangaa wanaobeza safari zake za nje akisema "Ninapokwenda nje naenda kwa malengo siendi tu. Siwezi kukaa tu ikulu jijini dar es salaam kuangalia 'uzuri' wa mke wangu Salma... Hapana lazima nikutane na watu huko huko walipo!" duh kabla ya kuendelea hivi hali ya uchumi ilivyo na mengine yote unaweza kuitisha umati wa wa2 unawaeleza kuhusu mke wako kweli?kama haitosh akaendelea
"...hivi ningekaa pale ikulu nikamwambia 'mama salma umependeza' huenda wengine 'mngeshakufa kwa njaa' bila mimi kwenda nje wajapan wangejuaje..."
kha aise i was speechless and wondered how tha heck people were able to tolerate even one more word tena kwa furaha na vigeregere! Yuko zake sasa hivi ana make posho 2 huku walala hoi tuna sota na umeme na bora viongozi wetu
 
jamaa ana kichwa kigumu sana eti
hawezi kusoma nyakati

sasa hivi baada ya kuzidiwa nguvu na mitandao wanasema wameruhusu
uhuru wa habari mbona magazeti hayako huru na serikali imekalia taarifa nyingi tu
kwa mfano mpaka sasa tumeshatumia kiasi gani kwa safari za kikwete toka aingie madarakani awamu ya kwanza
 
Mtu ambaye ni mtawala lakini hajui kwa nini anaomba omba na hana sababu lakini ni omba omba lazima kumuonea huruma .Ushabiki wa watanzania kutokuwa serious unaligharimu Taifa .JK hakuwa mtu wa kuwa Rais wa Tanzania huu ndiyo ukweli .
 
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba anawashangaa wanaobeza safari zake za nje akisema "Ninapokwenda nje naenda kwa malengo siendi tu. Siwezi kukaa tu ikulu jijini dar es salaam kuangalia 'uzuri' wa mke wangu Salma... Hapana lazima nikutane na watu huko huko walipo!" duh kabla ya kuendelea hivi hali ya uchumi ilivyo na mengine yote unaweza kuitisha umati wa wa2 unawaeleza kuhusu mke wako kweli?kama haitosh akaendelea
"...hivi ningekaa pale ikulu nikamwambia 'mama salma umependeza' huenda wengine 'mngeshakufa kwa njaa' bila mimi kwenda nje wajapan wangejuaje..."
kha aise i was speechless and wondered how tha heck people were able to tolerate even one more word tena kwa furaha na vigeregere! Yuko zake sasa hivi ana make posho 2 huku walala hoi tuna sota na umeme na bora viongozi wetu

Mkuu nimemekuelewa ila huyu ****** sio siri ni bomu,Nchi yetu ilivyo tajiri lakini yeye anaona ni bora kutembeza bakuli kila kona.,,His hadsome but shame on him"Afadhali hata fisadi Lowasa kuliko mnywa kahawa.
 
Juz niliposikia JK anakwea pipa kwa mara nyingine nikakumbuka kipindi cha uchaguzi alipokua Urambo Mashariki na Magharibi akiwanadi wagombea wake Sitta na Kapuya alisema kwa mbwembwe kwamba anawashangaa wanaobeza safari zake za nje akisema "Ninapokwenda nje naenda kwa malengo siendi tu. Siwezi kukaa tu ikulu jijini dar es salaam kuangalia 'uzuri' wa mke wangu Salma... Hapana lazima nikutane na watu huko huko walipo!" duh kabla ya kuendelea hivi hali ya uchumi ilivyo na mengine yote unaweza kuitisha umati wa wa2 unawaeleza kuhusu mke wako kweli?kama haitosh akaendelea
"...hivi ningekaa pale ikulu nikamwambia 'mama salma umependeza' huenda wengine 'mngeshakufa kwa njaa' bila mimi kwenda nje wajapan wangejuaje..."
kha aise i was speechless and wondered how tha heck people were able to tolerate even one more word tena kwa furaha na vigeregere! Yuko zake sasa hivi ana make posho 2 huku walala hoi tuna sota na umeme na bora viongozi wetu

May be our president has a point
 
Well, as long as NEC declared that he is our president for the next five years, and we decided to keep quiet (unlike our neighbors in Kenya) we got to live with him; whether we like it or not. Let him go wherever he wants, and of course we will always foot the bill.
 
huwezi endesha familia kwa misaada hata siku mmoja huku ukitegemea kuendelea hii ni ngumu mkuu wetu wa nchi ni marehemu ambao tuna ndani ya nchi bongo zao zilishakufa zamani kilicho baki nilini tutawazika.
 
Wakulaumiwa sana ni watanzania, mgombea anasifu kuombaomba, wao wanapiga vigeregere. Nani mwenye tatizo hapo?
 
Well, as long as NEC declared that he is our president for the next five years, and we decided to keep quiet (unlike our neighbors in Kenya) we got to live with him; whether we like it or not. Let him go wherever he wants, and of course we will always foot the bill.
Ndugu yangu basi tu hamna jinsi,ila huyu m2 ni mzigo wa nchi hii,safari zimeshagharimu mabilion ya fedha lakini hatuoni hata tunda lake moja! Anachojivunia kuhusu safari zake ni zile net alizoleta,seriously nets huku umetumia bilions. Takwimu zaonesha ndo 'rahisi' wa E.africa anaeongoza kwa safari za nje,kuzidi hata mawaziri wa mambo ya nje ambaye kazi yake inamtaka asafiri mara kwa mara! F***k this! 2015 hamna kufanya makosa!
 
Kwake ndo anaamin huo ndo uamuzi mgumu aliochukua. Anyway ila ninachoamin ni JK kavunja record aitakaa itokee tukapata mbu***mbu kaa yy even 100yrs to come
 
Waswahili wanasema AKUTUKANAYE HAKUCHAGULII TUSI...KWAHIYO SISI KUISHI KWETU KUNATEGEMEA PRESIDA WETU KUTEMBEZA KIBABA NJE???TWAFWA KAKWELI TZ
 
Hapa nchini basi tuu, ila tumuache asafiri amekutana na waziri wa UK amejadililina naye kuhusu fedha za rada na kukubaliana kuwa waendelee kuishawishi BAE irudishe chenji serikalini kumbukaka kuwa MEMBE alienda huko, baadaye kamati ya BUNGE ikiongozwa na NGUNGAI leo RAIS issue ni hiyo hiyo ambayo fedha zake walisema hazina utata ni safi tungekufa njaa kwasababu mbolea ipo juu bado tunategemea jembe la mkono,uongozi hauleweki nk hizo nchi ambazo raia wana kufa kwa njaa ni sababu marais wao hawasafiri sana au ?? na nyie watu wa Tabora angalieni vya kushangilia " NCHI HII NI MZIGO "
 
Jamani kwani huyo jamaa aliyekuwa anatamka hivyo ni rais je wanchi gani nisaidieni? me rais wangu yupo very active dr.slaaa
 
Rejea pale alipoulizwa kuhusiana zile ahadi alizozitoa 2005 ya ajira kwa vijana mbona hakuna? Akajibu kwani hamuoni sasa hivi kila kiongozi hapa bungeni ana House girl?
 
Mtu ambaye ni mtawala lakini hajui kwa nini anaomba omba na hana sababu lakini ni omba omba lazima kumuonea huruma .Ushabiki wa watanzania kutokuwa serious unaligharimu Taifa .JK hakuwa mtu wa kuwa Rais wa Tanzania huu ndiyo ukweli .
Ni kweli kabisa ndugu yangu,nakubaliana na wewe asilimia mia,watanzania na tume ya uchaguzi kumchagua Kikwete kuwa rais ni kosa ambalo tutalijutia maisha yetu yote,KUMCHAGUA KIKWETE KUWA RAIS WATANZANIA TUMEINGIA CHOO CHA KIKE.
 
Ndugu yangu basi tu hamna jinsi,ila huyu m2 ni mzigo wa nchi hii,safari zimeshagharimu mabilion ya fedha lakini hatuoni hata tunda lake moja! Anachojivunia kuhusu safari zake ni zile net alizoleta,seriously nets huku umetumia bilions. Takwimu zaonesha ndo 'rahisi' wa E.africa anaeongoza kwa safari za nje,kuzidi hata mawaziri wa mambo ya nje ambaye kazi yake inamtaka asafiri mara kwa mara! F***k this! 2015 hamna kufanya makosa!
Net zenyewe zinapunguza nguvu za kiume.Ndugu zangu watanzania vitu vya bure vina madhara makubwa sana tukubali tusikubali huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom